MNEC ASAS  amteua Jasmine Ng’umbi kuwa mwenyekiti wa kamati ya ujenzi wa ofisi za CCM wilaya ya Mufindi.
HomeHabariTop Stories

MNEC ASAS amteua Jasmine Ng’umbi kuwa mwenyekiti wa kamati ya ujenzi wa ofisi za CCM wilaya ya Mufindi.

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (MNEC) Salim Abri Asas amemteua Jasmine Ng’umbi kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Ujenzi wa Ofisi za CCM w...

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (MNEC) Salim Abri Asas amemteua Jasmine Ng’umbi kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Ujenzi wa Ofisi za CCM wilayani Mufindi.

Uteuzi huu umefanyika baada ya MNEC Asas kutembelea ujenzi unaoendelea wa ofisi ya CCM katika kata ya Upendo, wilaya ya Mufindi, ambapo Jasmine Ng’umbi alifanya changizo la fedha ili kusaidia kufanikisha ujenzi wa ofisi hiyo.

Akiongea mbele ya MNEC, Jasmine Ng’umbi amemuomba msaada wa kumalizia ujenzi wa ofisi hiyo, akieleza kuwa ofisi hiyo itasaidia kutatua changamoto za wana CCM na wananchi kwa ujumla huku akimshukuru MNEC Asas kwa kutembelea ujenzi huo.

Kwa upande wake, MNEC Asas ameahidi kumalizia ujenzi wa ofisi hiyo na kumteua Jasmine Ng’umbi kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Ujenzi wa Ofisi za CCM wilayani Mufindi.

Amemtaka binti huyo kufanya tathmini ya ofisi zote za CCM wilayani Mufindi ambazo zimefikia hatua ya kumaliza ujenzi ili ziweze kumaliziwa.

MNEC Asas pia amesisitiza umuhimu wa kujitolea kwa wanachama katika maendeleo ya chama, akisema CCM itajengwa na wanachama wenyewe.

Ziara ya MNEC Asas ya kukutana na Halmashauri kuu za CCM za wilaya Mkoani Iringa inaendelea na tayari ametembelea wilaya ya Mufindi na Kilolo akitarajiwa kufika wilaya ya Iringa vijijini na wilaya ya Iringa Mjini.

The post MNEC ASAS amteua Jasmine Ng’umbi kuwa mwenyekiti wa kamati ya ujenzi wa ofisi za CCM wilaya ya Mufindi. first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/Ypro85h
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MNEC ASAS amteua Jasmine Ng’umbi kuwa mwenyekiti wa kamati ya ujenzi wa ofisi za CCM wilaya ya Mufindi.
MNEC ASAS amteua Jasmine Ng’umbi kuwa mwenyekiti wa kamati ya ujenzi wa ofisi za CCM wilaya ya Mufindi.
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/08/e6af5495-78a6-4bc7-95b0-5b70ac4cb55e-950x713.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/08/mnec-asas-amteua-jasmine-ngumbi-kuwa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/08/mnec-asas-amteua-jasmine-ngumbi-kuwa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy