Azam FC  imekabidhiwa Sh Milioni 5 ya Goli la Mama kutoka kwa Rais Samia
HomeHabariTop Stories

Azam FC imekabidhiwa Sh Milioni 5 ya Goli la Mama kutoka kwa Rais Samia

KLABU ya Azam FC ya jijini Dar es Salaam, imekabidhiwa Sh Milioni 5 ya Goli la Mama kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. ...

KLABU ya Azam FC ya jijini Dar es Salaam, imekabidhiwa Sh Milioni 5 ya Goli la Mama kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, kutokana na ushindi wake bao 1-0 dhidi ya APR ya Rwanda, katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Wengine walionyakua zawadi hiyo ya Goli la Mama ni Yanga SC, walioibuka na ushindi wa magoli 4-0 dhidi ya wageni wao Vitalo ya nchini Burundi, ambapo kwa matokeo hayo timu hiyo ya Tanzania ilikabidhiwa Sh Milioni 20 kutoka kwa Rais Samia.

Akizungumza katika makabidhiano hayo, Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Damas Dumbaro, alimshukuru Rais Samia kwa kuamua kujitosa kusaidia ukuaji wa michezo ukiwemo mpira wa miguu kwa kutoa zawadi za magoli ya ushindi kwa timu za Tanzania zinazocheza mashindano ya kimataifa.

The post Azam FC imekabidhiwa Sh Milioni 5 ya Goli la Mama kutoka kwa Rais Samia first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/SwKfT61
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Azam FC imekabidhiwa Sh Milioni 5 ya Goli la Mama kutoka kwa Rais Samia
Azam FC imekabidhiwa Sh Milioni 5 ya Goli la Mama kutoka kwa Rais Samia
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/08/7ff7a609-cdb5-4ca2-90cf-a469fdab17b3-950x647.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/08/azam-fc-imekabidhiwa-sh-milioni-5-ya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/08/azam-fc-imekabidhiwa-sh-milioni-5-ya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy