TPA wekeni utaratibu mzuri wa abiria kuingia kwenye meli, kujenga jengo la kutunzia na kutenganisha mizigo
HomeHabariTop Stories

TPA wekeni utaratibu mzuri wa abiria kuingia kwenye meli, kujenga jengo la kutunzia na kutenganisha mizigo

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TASAC, Nah. Mussa Mandia ameielekeza TPA kuweka utaratibu mzuri wa abiria kuingia kwenye meli, kujenga jen...

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TASAC, Nah. Mussa Mandia ameielekeza TPA kuweka utaratibu mzuri wa abiria kuingia kwenye meli, kujenga jengo la kutunzia mizigo na kutenganisha mizigo ya vyakula na mizigo mengine katika Bandari ya Nyamisati.

Hayo ameyabainisha leo wakati akizungumza na vyombo vya habari kwenye baada ya ziara ya ukaguzi katika bandari ya Nyamisati iliyopo wilaya ya Kibiti mkoani Pwani.

“Hongereni sana mnafanya kazi nzuri na tumeridhishwa na utekelezaji wake ila mngeweka utaratibu mzuri wa abiria kuingia kwenye meli, mjenge jengo la kutunzia mizigo na kutenganisha mizigo ya vyakula na mizigo mengine hiyo itawezesha kusaidia kuondokana na Changamoto zisizo za lazima”. Amesema Mandia

Hata hivyo Mkurugenzi Mkuu wa TASAC, Mohamed Salum amesema “bandari hii ni ndogo lakini inafanya vizuri katika kutoa huduma za usafiri, Bodi imetuelekeza tuendelee kusimamia uboreshaji wa eneo la bandari lenye udongo linalolika kwa maji kwa kuwekwa tabaka gumu ili maji yasiendelee kuondoa udongo”

Naye Meneja wa bandari Nyamisati, Issa Unemba amesema kuwa bandari hii ni ya kimkakati katika kuhudumia visiwa vya bahari Hindi. Hivyo wamefanya maboresho mengi bandari hapo na wataendelea kuboresha zaidi kwa kuwa vifaa vya kupakia na kupakua mizigo.

Bandari hii inahudumia meli tatu, na vyombo vidogo vya usafiri majini.Kwa mwaka inasafirisha abiria zaidi 4000 na mizigo zaidi ya tani 200 kwa mwezi.

The post TPA wekeni utaratibu mzuri wa abiria kuingia kwenye meli, kujenga jengo la kutunzia na kutenganisha mizigo first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/DwGkefV
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: TPA wekeni utaratibu mzuri wa abiria kuingia kwenye meli, kujenga jengo la kutunzia na kutenganisha mizigo
TPA wekeni utaratibu mzuri wa abiria kuingia kwenye meli, kujenga jengo la kutunzia na kutenganisha mizigo
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/07/830e0cdf-491f-4852-9369-1fac6e38f9ca-950x532.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/07/tpa-wekeni-utaratibu-mzuri-wa-abiria.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/07/tpa-wekeni-utaratibu-mzuri-wa-abiria.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy