HESLB: Dirisha La Kuomba Mkopo Kufunguliwa Kabla Ya Julai 15
HomeHabari

HESLB: Dirisha La Kuomba Mkopo Kufunguliwa Kabla Ya Julai 15

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imesema dirisha la uombaji mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka 2022/2023 linatarajia kuf...

Dj Effexy katuletea hii Album yake mpya isikilize hapa ‘Midnight In Dar’
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 10, 2024
Kila Mtanzania anatakiwa kuwa na bima ya afya,kinachosubiriwa ni kanuni sheria ianze kutekelezwa – Dkt Baghayo


Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imesema dirisha la uombaji mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka 2022/2023 linatarajia kufunguliwa kabla ya tarehe 15 Julai, 2022. 

Katika taarifa yake iliyotolewa  Jumatano Julai 6, 2022 na Mkurugenzi Mtendaji Mtendaji wa HESLB (pichani), Abdul-Razaq Badru ilisema HESLB inakamilisha taratibu za uombaji mikopo kwa mwaka 2022/2023 na dirisha litafunguliwa katika kipindi cha siku 10 zijazo.

“Taarifa hii inatolewa kufuatia maombi mengi ya taarifa ya ufafanuzi kutoka kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita mwaka 2022 na matokeo yao kutangazwa na Baraza la Taifa la Mitihani (NECTA),  Jumanne Julai 5, 2022.” amesema Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB, Abdul-Razaq Badru.

Badru amesema kwa sasa waombaji mikopo watarajiwa wanatakiwa kuwa watulivu na kuanza maandalizi ya awali ya kuandaa nyaraka muhimu kama vyeti vyao vya kuzaliwa au vyeti vya vifo vya wazazi wao vilivyohakikiwa na Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) na Wakala wa Usajili wa Matukio Muhimu Zanzibar (ZCSRA).

Kuhusu sifa na utaratibu wa kuomba mkopo kwa mwaka 2022/2023, Badru amesema maelezo yatapatikana katika ‘Mwongozo wa Utoaji Mikopo kwa mwaka 2022/2023’ utakaoanza kupatikana katika tovuti ya HESLB https://ift.tt/4FfyRUT 15, 2022.

HESLB ilianzishwa mwaka 2005 ikiwa na majukumu ya kutoa mikopo kwa wanafunzi wahitaji wanaojiunga na taasisi za elimu ya juu na kukusanya mikopo iliyoiva kutoka kwa wanufaika.



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: HESLB: Dirisha La Kuomba Mkopo Kufunguliwa Kabla Ya Julai 15
HESLB: Dirisha La Kuomba Mkopo Kufunguliwa Kabla Ya Julai 15
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi8pe6ewHA9hffyCCXvqyRHiwwKDf7jHg8GHSPY1dHZ-JgyJGGGcwRR4sNr7il1Ktkj2pzvKdtdk-bOg5ef4-b21XoG0kuIO00s8CtqqXda44_qAErkgAq5v-2J5NDub1rAwD9zCSN-_8f6f68p6kLuQM8Cxa7pekQvhcB2p47mDmQQ4bp_RErqNWJjVQ/s16000/ABDUL-RAZAQ-BADRU.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi8pe6ewHA9hffyCCXvqyRHiwwKDf7jHg8GHSPY1dHZ-JgyJGGGcwRR4sNr7il1Ktkj2pzvKdtdk-bOg5ef4-b21XoG0kuIO00s8CtqqXda44_qAErkgAq5v-2J5NDub1rAwD9zCSN-_8f6f68p6kLuQM8Cxa7pekQvhcB2p47mDmQQ4bp_RErqNWJjVQ/s72-c/ABDUL-RAZAQ-BADRU.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/07/heslb-dirisha-la-kuomba-mkopo.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/07/heslb-dirisha-la-kuomba-mkopo.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy