Waziri Ummy Amuwakilisha Rais Samia Kikao Cha Global Covid-19 Kwa Njia Ya Mtandao
HomeHabari

Waziri Ummy Amuwakilisha Rais Samia Kikao Cha Global Covid-19 Kwa Njia Ya Mtandao

Na.WAF-Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu leo amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kweny...

Naibu Waziri Mabula Awabana Watendaji Sekta Ya Ardhi Kuongeza Kasi Utoaji Hati
Serikali Yaokoa Shilingi Milioni 304 Ujenzi Wa Jengo La Dharura
Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumapili January 31


Na.WAF-Dodoma
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu leo amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye kikao cha pili cha ‘Global Covid-19’ kwa njia ya mtandao ulioandaliwa za Serikali ya Belize, Ujerumani, Indoneaia, Senegal na Marekani.

Katika kikao hicho Waziri Ummy amesema hadi kufikia tarehe 9 Mei, 2022 jumla ya dozi 7,713,526 za chanjo ya UVIKO-19 zimetolewa nchi nzima na watu wapatao 4,110,884 sawa na asilimia 13.37 wamepata chanjo hiyo ambayo makadirio yake ni kuchanja watanzania wapatao 30,740,928.

Waziri Ummy amesema hadi sasa Tanzania imeshapokea dozi 11,232,374 kutoka COVAX facility pamoja na washirika wengine.

Vilevile Waziri Ummy ameeleza katika kikao hicho kuwa Serikali ya Tanzania itaendelea kuchukua hatua mbalimbali kuhakikisha wananchi wanapata Chanjo dhidi ya UVIKO-19 ikiwemo kutoa elimu ya umuhimu wa chanjo kwa kuwa hatujui wimbi jingine la Kirusi litakuaje.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Waziri Ummy Amuwakilisha Rais Samia Kikao Cha Global Covid-19 Kwa Njia Ya Mtandao
Waziri Ummy Amuwakilisha Rais Samia Kikao Cha Global Covid-19 Kwa Njia Ya Mtandao
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjhGkKrEmo-jf-dkaFuwRuqDj3CPAlG0rdrzgyazJ97NMBy-ol-pPDoEQBHnscZaKQxMQFLS7ub_oV3IqmR-izoxUwnlnCIz8PfK0iqd3mJK-elTfrh3lUka82p94K8sDLqGzUOsNZbfCFNJCUbkxu258lSj0N-zpb6S1XCDvg-OCnNPPqCExjAwt2Xvw/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjhGkKrEmo-jf-dkaFuwRuqDj3CPAlG0rdrzgyazJ97NMBy-ol-pPDoEQBHnscZaKQxMQFLS7ub_oV3IqmR-izoxUwnlnCIz8PfK0iqd3mJK-elTfrh3lUka82p94K8sDLqGzUOsNZbfCFNJCUbkxu258lSj0N-zpb6S1XCDvg-OCnNPPqCExjAwt2Xvw/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/05/waziri-ummy-amuwakilisha-rais-samia.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/05/waziri-ummy-amuwakilisha-rais-samia.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy