Taarifa Kwa Umma Kuhusu Kukamatwa Kwa Watuhumiwa Wanaotumia Pikipiki (Tatu Mzuka)
HomeHabari

Taarifa Kwa Umma Kuhusu Kukamatwa Kwa Watuhumiwa Wanaotumia Pikipiki (Tatu Mzuka)

Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha kuanzia  Mei 19 2022 tunaendelea na opereshini maalumu ya kupambana na wahalifu wanaotumia Pikipiki maaruf...


Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha kuanzia  Mei 19 2022 tunaendelea na opereshini maalumu ya kupambana na wahalifu wanaotumia Pikipiki maarufu kwa jina la “TATU MZUKA” ambapo wamekuwa kero kwa wananchi katika mkoa hususani jiji letu siku za hivi karibuni.

Katika operesheni hiyo jumla ya watuhumiwa 14 wamekamatwa ambao wamekuwa wakijihusisha na matukio mbalimbali katika mkoa ikiwemo uporaji kwa kutumia pikipiki.

Aidha katika Operesheni hiyo jumla ya pikipiki 12 zilikamatwa huku mbili kati ya hizo zilikuwa hazina namba za usajili badala yake zilikuwa na plate namba iliyosomeka R.I.P SCOBER.

Watumiwa hao wamehojiwa kwa kina na kukiri kufanya matukio ya uporaji, ukabaji na kujeruhi watu kwa kutumia pikipiki hizo katika maeneo tofauti tofauti katika mkoa huu na wametaja mtandao mzima wa wahalifu wanaoshirikiana katika matukio hayo.

Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama tunaendelea na operesheni kali ya kuwatafuta watuhumiwa wengine waliotajwa.

Nitoe wito kwa wananchi hususani wazazi na walezi kuendelea kuwapa malezi mema nakuwaonya vijana wao ili kuepusha kutojiingiza katika uhalifu na uvunjifu wa sheria za sheria za Nchi. Vile vile niwaombe wananchi kuendelea kutoa taarifa za uhalifu kwa Jeshi la Polisi ambazo zimefanikisha sana operesheni hii.

IMETOLEWA NA:
JUSTINE MASEJO-ACP
KAMANDA WA POLISI
MKOA WA ARUSHA


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Taarifa Kwa Umma Kuhusu Kukamatwa Kwa Watuhumiwa Wanaotumia Pikipiki (Tatu Mzuka)
Taarifa Kwa Umma Kuhusu Kukamatwa Kwa Watuhumiwa Wanaotumia Pikipiki (Tatu Mzuka)
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjLN25Oi7Fd2sNIWLUIsvU4Db011LgXp25q-ts4wBGhdtCDHgTAriK59Yvhog_khto0M3Y1q6ac9m3CrfTzdMq_o7FWGRdgCgHq-LCQ9hXApKXvazEEMVKkpe7ZNZmAs0loYBqWcas_ZK6BEftsl0UkcfcScPws6tStOrNss6NuUUAgDkDTV5kGg2fnNg/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjLN25Oi7Fd2sNIWLUIsvU4Db011LgXp25q-ts4wBGhdtCDHgTAriK59Yvhog_khto0M3Y1q6ac9m3CrfTzdMq_o7FWGRdgCgHq-LCQ9hXApKXvazEEMVKkpe7ZNZmAs0loYBqWcas_ZK6BEftsl0UkcfcScPws6tStOrNss6NuUUAgDkDTV5kGg2fnNg/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/05/taarifa-kwa-umma-kuhusu-kukamatwa-kwa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/05/taarifa-kwa-umma-kuhusu-kukamatwa-kwa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy