Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe Mhe. Emmerson Mna...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe Mhe. Emmerson Mnangagwa, uliowasilishwa kwake na Mjumbe huyo Maalum Balozi Simbarashe Mumbengengwi, Ikulu Chamwino jijini Dodoma Mei 22,2022.
Credit: MPEKUZI
Thanks for your time please share with your friends
COMMENTS