Jeshi La Polisi Nchini Lajipanga Ujio Mkubwa Wa Watalii Baada Ya Uzinduzi Wa Royal Tour
HomeHabari

Jeshi La Polisi Nchini Lajipanga Ujio Mkubwa Wa Watalii Baada Ya Uzinduzi Wa Royal Tour

Jeshi la Polisi nchini limejipanga vyema kuimarisha ulinzi na usalama baada Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu  ...


Jeshi la Polisi nchini limejipanga vyema kuimarisha ulinzi na usalama baada Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu  Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kuzindua filamu ya The Royal Tour hivi karibuni kwa lengo la kuutangaza utalii.

Akitoa taarifa hiyo kwa niaba ya msemaji wa Jeshi la Polisi Nchini, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP JUSTINE MASEJO amesema Jeshi la Polisi Nchini limeanzisha kitengo maalumu cha Utalii na Diplomasia ambacho kipo kwa ajili ya kuwahudumia Watalii na Wanadiplomasia wanaofiika nchini.

Aliendelea kusema Mkoa wa Arusha ambapo ni kitovu cha utalii nchini kumeanzishwa kituo cha Polisi maalumu kwa ajili ya kuhudumia Watalii na Wanadiplomasia ambapo Askari wake wamewapatiwa mafunzo ndani na nje ya Nchi namna bora ya kuhudumia watalii.

Pia amesema kuwa kuna magari maalumu ambayo hutumiwa na kituo hicho kwa ajili ya doria mbalimbali ikiwemo kwenye vivutio vya utalii, hoteli za kitalii pamoja na maeneo mengine ambayo wageni hupenda kutembelea.

Sambamba na hilo amesema kuwa kuna vituo vidogo vya Polisi vilivyopo katika wiliya ya Arumeru, Monduli, Longido, na Karatu ambapo magari ya utalii hufika kwa ajili ya kupata taarifa za kitalii pamoja na ukaguzi wa usalama wa magari hayo.

Alimaliza kwa kusema kuwa Jeshi la Polisi Nchini litaendelea  kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan katika kuutangaza utalii kwa kuboresha mazingira ya kiusalama kwa watalii wanaofika nchini.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Jeshi La Polisi Nchini Lajipanga Ujio Mkubwa Wa Watalii Baada Ya Uzinduzi Wa Royal Tour
Jeshi La Polisi Nchini Lajipanga Ujio Mkubwa Wa Watalii Baada Ya Uzinduzi Wa Royal Tour
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiJJ5kZZirFFHgtquVUyDAQpkSfwBq8-MBj5YBMN0ATCl6Xjqol4RgZakbULMHGE7kfhk0CNKTTpZm21t2EAngxJ8Y2GulVT0CEu2mHg-0-F9W9GKOyRC2IAa2CfCw-xqgw9BNd7wfhK90VlC6fC7hKjwCKLeDC2U-lsXOXKYuUnN8cLhs9YofIWWFCfw/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiJJ5kZZirFFHgtquVUyDAQpkSfwBq8-MBj5YBMN0ATCl6Xjqol4RgZakbULMHGE7kfhk0CNKTTpZm21t2EAngxJ8Y2GulVT0CEu2mHg-0-F9W9GKOyRC2IAa2CfCw-xqgw9BNd7wfhK90VlC6fC7hKjwCKLeDC2U-lsXOXKYuUnN8cLhs9YofIWWFCfw/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/05/jeshi-la-polisi-nchini-lajipanga-ujio.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/05/jeshi-la-polisi-nchini-lajipanga-ujio.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy