Wizara Ya Afya Na Shirika La Afya Duniani Zasaini Mpango Wa Utekelezaji Wa Afua Za Afya Wenye Thamani Ya Shilingi Bilioni 49.2
HomeHabari

Wizara Ya Afya Na Shirika La Afya Duniani Zasaini Mpango Wa Utekelezaji Wa Afua Za Afya Wenye Thamani Ya Shilingi Bilioni 49.2

NA WAF. DODOMA Serikali kupitia Wizara ya Afya imesaini mpango wa utekelezaji wa afua za afya za kila mwaka unaoandaliwa na Shirika la ...

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 10, 2024
Kila Mtanzania anatakiwa kuwa na bima ya afya,kinachosubiriwa ni kanuni sheria ianze kutekelezwa – Dkt Baghayo
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 9, 2024


NA WAF. DODOMA

Serikali kupitia Wizara ya Afya imesaini mpango wa utekelezaji wa afua za afya za kila mwaka unaoandaliwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) ambao unazingatia vipaumbele vya Mpango Mkakati wa Tano wa Sekta ya Afya (2021/22-2025/26)

Mpango kazi huo wenye thamani ya Dola za kimarekani milioni 21.48 sawa na zaidi ya shilingi Bilioni 49.6 umesainiwa mapema Machi 08, 2022 na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu pamoja na Mkurugenzi Mkazi wa WHO nchini Dkt. Tigest Ketsela katika Ofisi za Wizara, jijini Dodoma.

Mpango huo unalenga maeneo makuu sita ambayo ni: Kufikisha Afya kwa wote, Huduma za Dharura na kukabiliana na majanga, Afya na Ustawi, Uwezeshaji katika Mifumo ya Afya, Kukabiliana na kudhibiti magonjwa ya mlipuko na kutekeleza miradi ya kutokomeza magonjwa yasiyopewa kipaumbele.

Akiongea wakati kusaini mpango kazi huo, Waziri Ummy ameishukuru WHO kwa kuendelea kushirikiana na Serikali katika kuboresha sekta ya afya nchini ambapo amesema Serikali ya awamu ya sita inaendelea kuboresha huduma za afya kwa wananchi lakini peke yake haitaweza bila kushirikiana na wadau.

Kwa upande wake Dkt. Tigest amemwambia Waziri Ummy kuwa WHO iko tayari muda wote kusaidiana na Serikali ya Tanzania katika kuhakikisha uboreshaji wa huduma za afya zenye kuzingatia usawa na kuhakikisha wananchi wote wanafikiwa.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Wizara Ya Afya Na Shirika La Afya Duniani Zasaini Mpango Wa Utekelezaji Wa Afua Za Afya Wenye Thamani Ya Shilingi Bilioni 49.2
Wizara Ya Afya Na Shirika La Afya Duniani Zasaini Mpango Wa Utekelezaji Wa Afua Za Afya Wenye Thamani Ya Shilingi Bilioni 49.2
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEjZ1ln3cfOxXO_-Q3z3G7aheshrzppCU2mpmulIn6O59wWMTDP8weudR-jlO5Z2W3dCxjWo82yxwsSzXSwlNTfG9fIh8_1UOe-gOfh8Ph4c6khy6FsPwyJFqWlqK05yloqLLAW3ALQw20vzKqOq6UnShJugY24CBKDtmOQw7Ezapy3TxDWGBlTMo0ER5Q=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEjZ1ln3cfOxXO_-Q3z3G7aheshrzppCU2mpmulIn6O59wWMTDP8weudR-jlO5Z2W3dCxjWo82yxwsSzXSwlNTfG9fIh8_1UOe-gOfh8Ph4c6khy6FsPwyJFqWlqK05yloqLLAW3ALQw20vzKqOq6UnShJugY24CBKDtmOQw7Ezapy3TxDWGBlTMo0ER5Q=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/03/wizara-ya-afya-na-shirika-la-afya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/03/wizara-ya-afya-na-shirika-la-afya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy