IGP Sirro Awapa angalizo Wakuu Wa Upelelezi Wa Mikoa Na Vikosi
HomeHabari

IGP Sirro Awapa angalizo Wakuu Wa Upelelezi Wa Mikoa Na Vikosi

 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro amewataka Wakuu wa Upelelezi wa Mikoa na Vikosi kutafuta ufumbuzi wa changamoto mbalimbal...

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo October 24, 2024
Mashambulio Marefu ya Ukrainia dhidi ya Maghala ya Ammo na Viwanda vya Silaha kote Urusi.
Habari kubwa Magazetini Kenya leo October 23, 2024


 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro amewataka Wakuu wa Upelelezi wa Mikoa na Vikosi kutafuta ufumbuzi wa changamoto mbalimbali zinazowasilishwa na wananchi hasa kuhusiana na makosa ya uhalifu kwa njia ya mtandao unaotekelezwa na baadhi ya watu wenye nia ovu.

IGP Sirro amesema hayo jijini Dodoma wakati akifunga mafunzo ya siku tano ya Wakuu wa Upelelezi wa Mikoa na Vikosi pamoja na Wakuu wa Madawati ya Upelelezi wa Makosa ya Mtandao ambapo amewataka kuhakikisha wanapunguza malalamiko yanayotolewa na wananchi kwa kuyafanyiakazi na wahalifu kukamatwa.

Naye Mkurugenzi wa TEHAMA kutoka Wizara ya Habari, Mulembwa Munaku, amesema kuwa, licha ya hatua mbalimbali kuchukuliwa lakini zipo changamoto za uhalifu wa kimtandao ambapo bado wahalifu wanaendelea kuchukuliwa hatua na kudhibitiwa .


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: IGP Sirro Awapa angalizo Wakuu Wa Upelelezi Wa Mikoa Na Vikosi
IGP Sirro Awapa angalizo Wakuu Wa Upelelezi Wa Mikoa Na Vikosi
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhH7sFzzP4kPoIHmq_o0x9M4QHDRnBGSlecry2ebwa_2Dz5Qrm6xspec7DTii6YqHDa2pwuNLJlGw20-kwEVSB3iXbABsp9NUYeDp3fol7FvNUvrFSWqzKHkDRuy3yKjv4toN3S0R8GmpjI55lwjM2M9e3JuV4z_e3N0rDhcqYz8sePodN5h8b5Vshwgw/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhH7sFzzP4kPoIHmq_o0x9M4QHDRnBGSlecry2ebwa_2Dz5Qrm6xspec7DTii6YqHDa2pwuNLJlGw20-kwEVSB3iXbABsp9NUYeDp3fol7FvNUvrFSWqzKHkDRuy3yKjv4toN3S0R8GmpjI55lwjM2M9e3JuV4z_e3N0rDhcqYz8sePodN5h8b5Vshwgw/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/03/igp-sirro-awapa-angalizo-wakuu-wa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/03/igp-sirro-awapa-angalizo-wakuu-wa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy