Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu Mzee Mizengo Pinda alipomtembelea ku...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu Mzee Mizengo Pinda alipomtembelea kumjulia hali Nyumbani kwake Zuzu Mkoani Dodoma tarehe 15 Januari 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu Mzee John Samwel Malecela alipomtembelea kumjulia hali Nyumbani kwake Kilimani Jijini Dodoma tarehe 15 Januari 2022.
Credit: MPEKUZI
Thanks for your time please share with your friends
COMMENTS