NATO kupeleka wanajeshi wa ziada Ulaya Mashariki
HomeHabari

NATO kupeleka wanajeshi wa ziada Ulaya Mashariki

 Jumuiya ya kujihami ya NATO imesema, inawaweka tayari wanajeshi wake ziada na kupeleka meli zaidi pamoja na ndege za kivita Ulaya Mashariki...

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo October 14
Waziri Ummy Atoa Maelekezo Kwa Wakuu Wa Mikoa Na Wilaya Kusimamia Miradi Ya Fedha Zilizotolewa Na IMF
CCM Yaelekeza Viongozi Wake Kusimamia Fedha Za Miradi Zilizotolewa Na IMF....Yampongeza Rais Samia kwa Kulinda Maslahi ya Taifa

 Jumuiya ya kujihami ya NATO imesema, inawaweka tayari wanajeshi wake ziada na kupeleka meli zaidi pamoja na ndege za kivita Ulaya Mashariki.


Hatua hiyo imekuja wakati Ireland ikitahadharisha kwamba luteka mpya za kijeshi za Urusi nje ya pwani yake hazikubaliki kutokana na mivutano iliyopo kuhusu suala la madai kwamba rais Vladmir Putin analenga kuishambulia Ukraine.

Katibu mkuu wa NATO Jens Stoltenberg amesema jumuiya hiyo inachukuwa hatua zote zinazostahili kulinda na kuwatetea washirika wake wote. 

Jumuiya hiyo imesema inaimarisha uwepo wa jeshi lake katika eneo la bahari ya Baltic wakati Denmark ikipeleka ndege za kivita nchini Lithuania na Uhispania nayo ikitangaza pia itapeleka meli za kivita na pengine ndege za kivita nchini Bulgaria. Aidha Ufaransa imesema inajiandaa kupeleka wanajeshi nchini Bulgaria.

Hatua hizo zimetangazwa wakati mawaziri wa mambo ya nje wa nchi za Umoja wa Ulaya wamekutana kuonesha msimamo wa pamoja wa kuiunga mkono Ukraine na kuondowa mashaka yaliyokuwepo juu ya migawanyiko kuhusu namna ya kuukabili uchokozi wa Urusi.




Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: NATO kupeleka wanajeshi wa ziada Ulaya Mashariki
NATO kupeleka wanajeshi wa ziada Ulaya Mashariki
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEir1jP_vLOTDT-7L9x3fKfWfGD8HNLmtd7hczh4nOYZ3c8QTwF80SJsrgSCjJ8Ng9ZnRVKk8I58EtKG26tzjhcm6QCo2DzLovZiXXXwbxvyu6hvBZu-ayiTRrzZsOCdPjpJ-5keR1tQttWkeE2Uor7IPICfdrr-wlnsOa4YW0QalJqTtFcTTDDIx5hWUQ=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEir1jP_vLOTDT-7L9x3fKfWfGD8HNLmtd7hczh4nOYZ3c8QTwF80SJsrgSCjJ8Ng9ZnRVKk8I58EtKG26tzjhcm6QCo2DzLovZiXXXwbxvyu6hvBZu-ayiTRrzZsOCdPjpJ-5keR1tQttWkeE2Uor7IPICfdrr-wlnsOa4YW0QalJqTtFcTTDDIx5hWUQ=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/01/nato-kupeleka-wanajeshi-wa-ziada-ulaya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/01/nato-kupeleka-wanajeshi-wa-ziada-ulaya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy