“Serikali Ya Rais Samia Imejipanga Kuimarisha Sekta Ya Viwanda Na Biashara “ -Dkt.Hashil Abdalah
HomeHabari

“Serikali Ya Rais Samia Imejipanga Kuimarisha Sekta Ya Viwanda Na Biashara “ -Dkt.Hashil Abdalah

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdalah amesema Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassa...

Kauli Ya Serikali Kuhusu samaki waliokutwa wamekufa ufukweni Dar es Salaam
Waziri Mkenda Na Mkakati Wa Kuimarisha Bei Za Mazao Ya Kilimo
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo July 22


Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdalah amesema Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imejipanga kuimarisha sekta ya viwanda na biashara kwa kuhakikisha wafanyabiashara wananufaika na Serikali inanufaika kwa mujibu wa sheria na taratibu zilizopo.

Naibu Katibu Mkuu huyo ameyasema hayo alipokuwa akifungua maonyesho ya bidhaa za usafirishaji ambazo zinaingizwa nchini kutoka India katika hafla fupi iliyofanyika  Jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na wanahabari, wafanyabiashara na wananchi waliofika katika maonyesho hayo Dr. Abdallah amesema Maonyesho hayo ni muhimu katika kukiza uchumi wa nchi kwa kuwa vifaa vya usafirishaji kama Pikipiki, Bajaji, Matrekta magari vinatumiwa na wananchi wengi katika kurahisisha shughuri zao za kila siku.

“Bidhaa hizi mfano Matrekta, Bajaji, Pikipiki zinaingia sokoni kama mitaji ambayo inatumika na watu kujiendeleza kiuchumi ” Amesema Dkt. Absallah.

Aidha, Dkt. Abdallah amesema Wizara ya Viwanda na Biashara ipo tayari kutoa ushirikiano na kutatua changamoto ambazo zinawakabili wafanya biasharawakati wowote kwa kushirikiana na wadau wengine.

Naye, Balozi wa India nchini Tanzania, Mhe. Binaya Srikanta Pradhan amesema ingawa kwa sasa bidhaa hizi zinazalishwa nchini India, hivi karibuni zitaanza kuzalishwa nchini Tanzania.

Dkt. Abdallah ametoa rai kwa watanzania kufika katika maonyesho hayo kuzungumza moja kwa moja na wafanyabiashara na benki zilizopo hapo ili kuona namna ya kutumia fursa hii kujinufaisha.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: “Serikali Ya Rais Samia Imejipanga Kuimarisha Sekta Ya Viwanda Na Biashara “ -Dkt.Hashil Abdalah
“Serikali Ya Rais Samia Imejipanga Kuimarisha Sekta Ya Viwanda Na Biashara “ -Dkt.Hashil Abdalah
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEjaQY5pdhWdP5J1eRPKjT_I0CpNrQdI8M2nIScUo10VfEvWGb8m9_HSXximPZAsgIyXnhWMlpO1eXJEoFEQk-FPW1AcXTABxuHr58yr1yXE-IKabXrkw06NxxtIGPx7KkSXq_x04xDsymu-Cbqnzdz-FgIVqi_lvPvVnLVogGj9F7fslpyqEpfr-h5wxg=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEjaQY5pdhWdP5J1eRPKjT_I0CpNrQdI8M2nIScUo10VfEvWGb8m9_HSXximPZAsgIyXnhWMlpO1eXJEoFEQk-FPW1AcXTABxuHr58yr1yXE-IKabXrkw06NxxtIGPx7KkSXq_x04xDsymu-Cbqnzdz-FgIVqi_lvPvVnLVogGj9F7fslpyqEpfr-h5wxg=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/12/serikali-ya-rais-samia-imejipanga.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/12/serikali-ya-rais-samia-imejipanga.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy