Rais Samia Ashusha Neema Sekta Ya Elimu Nchini
HomeHabari

Rais Samia Ashusha Neema Sekta Ya Elimu Nchini

NA NTEGHENJWA HOSSEAH-OR TAMISEMI NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (anayeshughulikia Elimu), Geral...

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 28, 2024
Raia 160 wa Nigeria wavamiwa na kutekwa nyara
Habari kubwa Magazetini Kenya leo May 27, 2024


NA NTEGHENJWA HOSSEAH-OR TAMISEMI

NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (anayeshughulikia Elimu), Gerald Mweli amesema, zaidi ya shilingi Bilioni 500 zimetolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ili kuboresha Elimumsingi nchini.

Mheshimiwa Mweli ameyasema hayo  Desemba 3,2021 katika ziara yake wilayani Kongwa mkaoni Dodoma.

“Fedha shilingi bilioni 304 kupitia mpango wa mapambano na ustawi wa jamii dhidi ya Uviko-19 zimepokewa ambapo Shilingi Bilioni 240 zinajenga vyumba vya madarasa 12,000

“Shilingi Bilioni 60 zinajenga vyumba vya madarasa 3,000 kwenye vituo shikizi 907 na Shilingi Bilioni 4 zinajenga mabweni 50 ya wanafunzi wenye mahitaji maalum,”amesema Naibu Katibu Mkuu huyo anayeshughulikia Elimu.

Pia amesema, kupitia Programu ya GPE – LANES II na EP4R – Shilingi Bilioni 113 zimetolewa kujenga miundombinu ya shule za msingi na sekondari nchini.

“Kupitia programu hizo, ujenzi wa shule mpya za msingi 19 na sekondari 15 unafanyika kwa gharama ya shilingi Bilioni 21.25

“Fedha za tozo ya mawasiliano Shilingi bilioni 7 zimepelekwa kwa ajili ya kukamilisha maboma ya madarasa 560 ya shule za sekondari yaliyojengwa kwa nguvu za wananchi ili kuunga mkono jitihada hizo.

“Vile vile fedha shilingi Bilioni 8.5 zimepokelewa kwa ajili kuzuia maambukizi na athari za UVIKO-19 zinajenga miundombinu ya kunawia mikono,”amebainisha Mheshimiwa Mweli.

Pia ameongeza kuwa, kupitia Mradi wa Kuinua Ubora wa Elimu ya Sekondari Tanzania (SEQUIP) fedha shilingi Bilioni 130.5 zimetolewa kwa ajili ya kujenga shule 214 za sekondari za kata na shule 10 za wasichana za mikoa (shule moja kila mkoa) na hii ni katika mwaka huu wa fedha wa 2021/22.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Rais Samia Ashusha Neema Sekta Ya Elimu Nchini
Rais Samia Ashusha Neema Sekta Ya Elimu Nchini
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEjPPcA3D3XUXrOZEnLkpNONuYPRFZc8XKKRDVwYVCrO7UPfuxngiZBi_C0djZ0e2GtjzXHvvHZcM3WYh8mjkfxLNUtWIQSLMrCHlVPQ94KISDdsWVzHlXOHHO16_ZOXQPzgmUmVNK2xIp8PrjnSqLu0Izlkge7-t9cCOyuzV7evv4xzM86FDShkO34vYw=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEjPPcA3D3XUXrOZEnLkpNONuYPRFZc8XKKRDVwYVCrO7UPfuxngiZBi_C0djZ0e2GtjzXHvvHZcM3WYh8mjkfxLNUtWIQSLMrCHlVPQ94KISDdsWVzHlXOHHO16_ZOXQPzgmUmVNK2xIp8PrjnSqLu0Izlkge7-t9cCOyuzV7evv4xzM86FDShkO34vYw=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/12/rais-samia-ashusha-neema-sekta-ya-elimu.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/12/rais-samia-ashusha-neema-sekta-ya-elimu.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy