Waziri Makamba Akutana Na Balozi Wa Uganda
HomeHabari

Waziri Makamba Akutana Na Balozi Wa Uganda

Hafsa Omar-Dar Es Saalam Waziri wa Nishati, January Makamba amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uganda nchini Tanzania, Balozi ...

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 25, 2024
REA yawapa tuzo wakandarasi waliofanya vizuri miradi ya PERI URBAN III
Kamati ya bajeti ya baraza la wawakilishi ZNZ yapongeza miradi ya ujenzi ya miundombinu ya mabasi yaendayo haraka daraja la juu


Hafsa Omar-Dar Es Saalam

Waziri wa Nishati, January Makamba amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uganda nchini Tanzania, Balozi  Richard Kabonero.

Mazungumzo hayo, yamefanyika Novemba 15, 2021 katika ofisi ndogo za Wizara ya Nishati zilizopo jijini Dar es Saalam.

Katika kikao hicho ambacho walijadili maandalizi ya ziara ya Rais wa Uganda, Yoweri Museveni ambae anatarajiwa kuanza ziara nchini Tanzania hivi karibuni.

Aidha, Makamba alisema kuwa Uhusiano mzuri uliopo baina hizo nchi hizi mbili  umepelekea kurahisisha ujenzi wa Bomba la kusafirisha mafuta ghafi la Afrika Mashariki ( EACOP) na Marais wa nchi  hizo mbili watahakikisha kuwa mradi huo unakamilika.

Pia, alisema mradi wa EACOP ni muhimu sana katika nchi hizo mbili  na mpaka sasa upo kwenye hatua nzuri.

“Tunafurahi hatua kubwa iliyofikiwa katika mradi na tunajua umuhimu wa mradi huu kwa nchi zetu zote mbili,” alisisitiza Waziri Makamba.

Kwa upande wake, Balozi wa Uganda nchini Tanzania, Balozi Richard Kabonero ameishukuru Serikali ya Tanzania kwa ushirikiano waliotoa kwa kuhakikisha mradi wa Bomba la mafuta unafanikiwa.



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Waziri Makamba Akutana Na Balozi Wa Uganda
Waziri Makamba Akutana Na Balozi Wa Uganda
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgiavXfrHmHwDQ2ihk_OLY1qafouQU6xznDiTcgxgqhBE1oCRmlHHssyQ3ysk4YHbJcdhqJeEYexzsNLEpDayFxJnLflILuWo11vKwFJRty-E1HrrJYe0fGFbndZmQiVaPrVwcava-aF-tT8Q_xAL5-3LTsrQYiR5uGRJFJgQn_V2StJGm4NQqhufZh6g=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgiavXfrHmHwDQ2ihk_OLY1qafouQU6xznDiTcgxgqhBE1oCRmlHHssyQ3ysk4YHbJcdhqJeEYexzsNLEpDayFxJnLflILuWo11vKwFJRty-E1HrrJYe0fGFbndZmQiVaPrVwcava-aF-tT8Q_xAL5-3LTsrQYiR5uGRJFJgQn_V2StJGm4NQqhufZh6g=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/11/waziri-makamba-akutana-na-balozi-wa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/11/waziri-makamba-akutana-na-balozi-wa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy