Uamuzi wa mapingamizi kesi ya Freeman Mbowe na Wenzake Kutolewa Leo
HomeHabari

Uamuzi wa mapingamizi kesi ya Freeman Mbowe na Wenzake Kutolewa Leo

Mahakama Kuu Devisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi leo inatarajiwa kutoa uamuzi utakaomaliza mvutano wa mawakili kuhusiana na u...


Mahakama Kuu Devisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi leo inatarajiwa kutoa uamuzi utakaomaliza mvutano wa mawakili kuhusiana na upokewaji wa kielelezo cha upande wa mashtaka katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu.

Mbowe na wenzake hao, Halfan Bwire Hassan, Adamu Hassan Kasekwa na Mohamed Abdillahi Ling’wenya wanakabiliwa na kesi hiyo inayosikilizwa na Jaji Joachim Tiganga.

Pingamizi hilo dhidi ya kitabu cha kumbukumbu ya mahabusu  kutoka Kituo Kikuu cha Polisi, Dar es Salaam, likitaka kisipokelewe mahakamani hapo kama ushahidi, lilikuja baada ya kuwasilishwa na shahidi Koplo Mpelelezi Ricardo Msemwa.

Msemwa ambaye kituo chake ni Oysterbay, aliwasilisha kitabu hicho Jumatano iliyopita katika Mahakama hiyo wakati akitoa ushahidi wake.

Mawakili wa utetezi, waliweka pingamizi hilo wakati shahidi huyo akitoa ushahidi katika kesi ndogo ya kupinga maelezo ya onyo ya mshitakiwa, Mohamed Ling’wenya yasipokewe wakidai hakuyatoa akiwa Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam wala Kituo cha Polisi Mbweni jijini humo.

Jopo la mawakili wa utetezi linaloongozwa na Peter Kibatala akisaidiana na Jeremiah Mtobesya, lilitoa hoja tatu katika pingamizi hilo, likidai kitabu hicho kilikwishatolewa uamuzi katika kesi kama hiyo ya Adam Kasekwa, lakini utaratibu haukufuatwa kukipata, na Mahakama haijatoa amri ya kitabu hicho kutoka.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Uamuzi wa mapingamizi kesi ya Freeman Mbowe na Wenzake Kutolewa Leo
Uamuzi wa mapingamizi kesi ya Freeman Mbowe na Wenzake Kutolewa Leo
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEi7AY3WI_EvxSs8QmRDM7qdDJQRFuAK_ajWQaueKwBUKUAcPco8YyC_YGHd741vCg2GM0CwW3GTVnOZ9YZmmnL8cbkgOH03oMQWhX-C6nFr_vCJKUPmD6dzihMkg7sLgzb_03AqL1QhDLKSDmNMUH9CPESFi-_pT5BwBpHaXb1KMY1Bq63kQOcXqabuJQ=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEi7AY3WI_EvxSs8QmRDM7qdDJQRFuAK_ajWQaueKwBUKUAcPco8YyC_YGHd741vCg2GM0CwW3GTVnOZ9YZmmnL8cbkgOH03oMQWhX-C6nFr_vCJKUPmD6dzihMkg7sLgzb_03AqL1QhDLKSDmNMUH9CPESFi-_pT5BwBpHaXb1KMY1Bq63kQOcXqabuJQ=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/11/uamuzi-wa-mapingamizi-kesi-ya-freeman.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/11/uamuzi-wa-mapingamizi-kesi-ya-freeman.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy