Serikali Yapiga Marufuku Usarishaji Malighafi Za Mazao Ya Misitu Kwenda Nchi Za Nje
HomeHabari

Serikali Yapiga Marufuku Usarishaji Malighafi Za Mazao Ya Misitu Kwenda Nchi Za Nje

  Serikali imepiga marufuku kusafirisha malighafi ya  mazao ya misitu kwenda nchi za nje Akitangaza marufuku hiyo, Waziri wa Maliasili n...


 Serikali imepiga marufuku kusafirisha malighafi ya  mazao ya misitu kwenda nchi za nje
Akitangaza marufuku hiyo, Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro amesema yeyote atakayebainika kusafirisha mazao hayo ya misitu atafutiwa leseni ya kusafrisha mazao hayo

Ameyataja mazao hayo kuwa ni magogo ya miti, gundi inayogemwa kwenye miti aina ya misindano pamoja na ''timber veneer''

Dkt. Ndumbaro amewataka wenye viwanda  kuchakata mazao hayo kwa kuyaongezea thamani hadi hatua za mwisho hapa nhini ili kuwanufaisha Watanzania kwa kupata ajira kwenye viwanda

Ameyasema hayo kweye kongamano la Uwekezaji wa Sekta ya Misitu mkoa wa Iringa ambalo limefanyika kwa muda wa siku mjini Mafinga na kuwakutanisha Wabobezi wa masuala ya  misitu wa ndani na nje ya nchi pamoja na wadau wa misitu kujadili changamoto na fursa zilizopo katika zao hilo.

Akizungumzia marufuku hiyo, Dkt. Ndumbaro amesema maono ya serikali kwa sasa ni kuendeleza viwanda hivyo haiwezekani mazao ya misitu yakendelea kusafirisha kwenda nchi za nje huku Watanzania wakibaki watzamaji tu

'' Tanzania ya viwanda haitaweza kufanikiwa kama Mimi Waziri mwenye dhamana nitaruhusu malighafi ya mazao ya misitu zitaendelea kusafrishwa kwenda nchi za nje sasa viwanda vyetu vitakua vipi '' alihoji Dkt. Ndumbaro

Wakati huo huo, Dkt. Ndumbaro amepiga marufuku biashara ya gundi inayogemwa kwenye miti aina ya misindano hadi pale maamuzi mengine yatakapotolewa

Kufuatia marufuku hiyo, Dkt.Ndumbaro ametoa muda wa siku 30 kwa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) pamoja na Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI) kuwasilisha ripoti juu ya faida na athari za ugemaji gundi hiyo

Akitoa msimamo huo, Dkt.Ndumbaro amewataka wenye uhitaji wa gundi hiyo wafungue viwanda nchini na sio kusafirisha malghafi hiyo


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Serikali Yapiga Marufuku Usarishaji Malighafi Za Mazao Ya Misitu Kwenda Nchi Za Nje
Serikali Yapiga Marufuku Usarishaji Malighafi Za Mazao Ya Misitu Kwenda Nchi Za Nje
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEiRyrF4_NZO1IkHnEF_65jMymSu0xq2lBUJus7CU68EYpEOU496dV6FUKeEwvzHaJomI85rC24eIZz4PvddRfmlNh_qLAzM2Pgz6QKiabhiJZsh063-8i6sPStzirx8m2rDwTV56x07PWwPlI8sSDnyv_meelyljz6HmBYlKNpvXwpp_Br_hUJCd9Du_g=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEiRyrF4_NZO1IkHnEF_65jMymSu0xq2lBUJus7CU68EYpEOU496dV6FUKeEwvzHaJomI85rC24eIZz4PvddRfmlNh_qLAzM2Pgz6QKiabhiJZsh063-8i6sPStzirx8m2rDwTV56x07PWwPlI8sSDnyv_meelyljz6HmBYlKNpvXwpp_Br_hUJCd9Du_g=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/11/serikali-yapiga-marufuku-usarishaji.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/11/serikali-yapiga-marufuku-usarishaji.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy