Nafasi mpya za Kazi ..... Hakimu Mkazi , Msaidizi wa Hesabu, Mhandisi wa Majengo ,Mhandisi Mkadiriaji Ujenzi, Afisa Utumishi na Katibu Mahsusi
HomeHabari

Nafasi mpya za Kazi ..... Hakimu Mkazi , Msaidizi wa Hesabu, Mhandisi wa Majengo ,Mhandisi Mkadiriaji Ujenzi, Afisa Utumishi na Katibu Mahsusi

Tume ya Utumishi wa Mahakama ni chombo kilichoundwa kwa mujibu wa   aya ya 112(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka ...


Tume ya Utumishi wa Mahakama ni chombo kilichoundwa kwa mujibu wa   aya ya 112(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka   1977. Aidha, Sheria ya Uendeshaji wa Mahakama Na. 4/2011 inaipa Tume   ya Utumishi wa Mahakama jukumu la kuajiri watumishi wa kada mbalimbali  
wa Mahakama pamoja na majukumu yake mengine.
 

Hivyo, Tume ya Utumishi wa Mahakama inawatangazia Watanzania wenye  sifa zilizoainishwa hapa chini kwa kila nafasi ya kazi na ambao wako tayari   kufanya kazi katika Mahakama ya Tanzania katika Mikoa mbalimbali kuleta   maombi yao ya kazi.

 

Nafasi hizo ni Hakimu Mkazi Daraja la II – (Nafasi 10) , Msaidizi wa Hesabu   (Nafasi 3), Mhandisi wa Majengo (Civil Engineer) Daraja la II (Nafasi 1),   Mhandisi Mkadiriaji Ujenzi (Quantity Surveyor) Daraja la II (Nafasi 1),   Afisa Utumishi II (Nafasi 1) na Katibu Mahsusi Daraja III (Nafasi 4)

==>>Kujua Zaidi Pamoja na kutuma Maombi,BOFYA HAPA kupakua PDF



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Nafasi mpya za Kazi ..... Hakimu Mkazi , Msaidizi wa Hesabu, Mhandisi wa Majengo ,Mhandisi Mkadiriaji Ujenzi, Afisa Utumishi na Katibu Mahsusi
Nafasi mpya za Kazi ..... Hakimu Mkazi , Msaidizi wa Hesabu, Mhandisi wa Majengo ,Mhandisi Mkadiriaji Ujenzi, Afisa Utumishi na Katibu Mahsusi
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEiYAqcKtJZ4N-IVq6eVxs2vi1x9saUcYLUI6Bw59FvyPRY3RJql7vg0S5pLIfPUTxUewtIt8uo_9fPnaYpl8Z1viCdqdE6Vx_jMGboE2gc1pD40fqzy5wTdho4Zc4UlX9kfQ0bHoHeZf8knf9PlHx7VoRotjP12WsQ25s4540qQXHKFlT-3BgaMhEFXEA=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEiYAqcKtJZ4N-IVq6eVxs2vi1x9saUcYLUI6Bw59FvyPRY3RJql7vg0S5pLIfPUTxUewtIt8uo_9fPnaYpl8Z1viCdqdE6Vx_jMGboE2gc1pD40fqzy5wTdho4Zc4UlX9kfQ0bHoHeZf8knf9PlHx7VoRotjP12WsQ25s4540qQXHKFlT-3BgaMhEFXEA=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/11/nafasi-mpya-za-kazi-hakimu-mkazi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/11/nafasi-mpya-za-kazi-hakimu-mkazi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy