Mabomu mawili yalipuka Kampala, Uganda....watu kadhaa wauawa, Bunge lafungwa, wabunge watakiwa kubaki nyumbani
HomeHabari

Mabomu mawili yalipuka Kampala, Uganda....watu kadhaa wauawa, Bunge lafungwa, wabunge watakiwa kubaki nyumbani

M abomu mawili yaliyoripuka leo Jumanne Novemba 16, 2021 katika mji mkuu wa Uganda, Kampala yamepelekea kufungwa bunge la nchi hiyo mbali ...

Mabomu mawili yaliyoripuka leo Jumanne Novemba 16, 2021 katika mji mkuu wa Uganda, Kampala yamepelekea kufungwa bunge la nchi hiyo mbali na kuuawa watu kadhaa.

Vyombo vya habari vya kieneo na kimataifa vimetangaza habari hiyo yakiwemo magazeti la kila siku ya Daily Monitor na New Vision ya nchi hiyo ambayo yamesema kuwa, bomu moja limeripuka mkabala na Kituo Kikuu cha Polisi jijini Kampala na jingine limeripuka karibu na jengo la Bunge la Uganda.

Usalama umeimarishwa kikamilifu katika majengo ya Bunge ambapo maafisa usalama wamelizingira bunge hilo hilo na uchunguzi umeanza mara moja.

Vyombo hivyo vimetangaza pia habari ya kujeruhiwa watu kadhaa kutokana na miripuko hiyo huku gazeti la Daily Monitor likitoa ufafanuzi zaidi likisema, mripuko wa kwanza umetokeka kwenye "city square" na jingine limeripuka dakika chache baadaye katika eneo la Bunge na kupiga Jengo la Bima la Jubilee ambalo ndipo zilipo pia ofisi za Inspekta Jenerali wa Serikali.

Picha na video zilizoenea katika mitandao ya kijamii zinaonyesha moshi mzito ukiwa umetanda huku baadhi ya magari yakionekana yanateketea kwa moto.

Naibu Spika wa Bunge la Uganda, Bi Anita Among amelifunga bunge hilo na kuwataka wabunge wabakie majumbani mwao. Uamuzi huo umechukuliwa dakika chache baada ya miripuko hiyo.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Mabomu mawili yalipuka Kampala, Uganda....watu kadhaa wauawa, Bunge lafungwa, wabunge watakiwa kubaki nyumbani
Mabomu mawili yalipuka Kampala, Uganda....watu kadhaa wauawa, Bunge lafungwa, wabunge watakiwa kubaki nyumbani
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEh2JQzUKljnGdYmHLDxPtpOc5pll6hNVI2kRFDhMbuNmGRlByCqS_1Af0n-PzbHZxem8x-9dZZZIZ8rgKxuNirp9fCOuAKMACPdhLwVcGRhumTv_O_uSGcGgnynQ4ESUobIVNTVOpVkRTLJmWuVtJqlCQvtfQfFY7XN15jXb0Dl4ssURNtdknF-uYsTlQ=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEh2JQzUKljnGdYmHLDxPtpOc5pll6hNVI2kRFDhMbuNmGRlByCqS_1Af0n-PzbHZxem8x-9dZZZIZ8rgKxuNirp9fCOuAKMACPdhLwVcGRhumTv_O_uSGcGgnynQ4ESUobIVNTVOpVkRTLJmWuVtJqlCQvtfQfFY7XN15jXb0Dl4ssURNtdknF-uYsTlQ=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/11/mabomu-mawili-yalipuka-kampala.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/11/mabomu-mawili-yalipuka-kampala.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy