Lengai Ole Sabaya atoa hoja kadhaa kupinga kifungo cha miaka 30 jela
HomeHabari

Lengai Ole Sabaya atoa hoja kadhaa kupinga kifungo cha miaka 30 jela

Mahakama Kuu Kanda ya Arusha nchini Tanzania, imepokea maombi ya rufaa ya aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai Ol...

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo February 11
Bodi Ya Bima Ya Amana Kuendelea Kuwalipa Wakulima Wa Korosho
Kukosekana Kwa Malezi Chanzo Cha Watoto Kukimbilia Mitaani- Waziri Gwajima


Mahakama Kuu Kanda ya Arusha nchini Tanzania, imepokea maombi ya rufaa ya aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili ambapo tarehe 15 Oktoba 2020 walihukumiwa kifungo cha miaka 90 jela.

Mbali na Sabaya, wengine ni Silvester Nyegu (26) na Daniel Bura, kila mmoja amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia kwenye makosa matatu ya ujambazi na unyang’anyi wa kutumia silaha.

Sabaya amekata rufaa hiyo huku akiendelea na kusikiliza kesi yake nyingine inayomkabili ya uhujumu uchumi.

Katika rufaa hiyo ambayo tayari imeshapokelewa, Sabaya amewasilisha sababu zaidi ya kumi za kupinga hukumu hiyo ambayo itamuweka gerezani kwa miaka 30.

Rufaa hiyo ambayo imepokelewa mwishoni mwa wiki na kusajiliwa kwa namba 129/2021, inatokana na kesi ya jinai namba 105/2021 ambayo ilisikilizwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha na Hakimu Mkazi Mwandamizi, Odira Amworo.

Akizungumza kwa niaba ya mawakili wa waleta rufaa hao, Wakili Moses Mahuna alisema kuwa kwa sasa wanasubiri kupewa wito wa mahakama kwa ajili ya kuanza kwa shauri hilo.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Lengai Ole Sabaya atoa hoja kadhaa kupinga kifungo cha miaka 30 jela
Lengai Ole Sabaya atoa hoja kadhaa kupinga kifungo cha miaka 30 jela
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEiuc1rTZkmFZyQ86oeuBYQDBs0cnFVRbIunPdpo5LAZ8urbekmo4VL-IUXzgF7DrqokmY3F7pdmBjsLx5jqdKyOLU3-CweFp8mLrdf5t487e8I18OI3dbZ2epKv3QHfmSojBuF6SsZvOZ6YGgeXhj_pbucWm0YxyTSdJh5-o3Q5qpNi6ZVxL8W0nbc6Ig=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEiuc1rTZkmFZyQ86oeuBYQDBs0cnFVRbIunPdpo5LAZ8urbekmo4VL-IUXzgF7DrqokmY3F7pdmBjsLx5jqdKyOLU3-CweFp8mLrdf5t487e8I18OI3dbZ2epKv3QHfmSojBuF6SsZvOZ6YGgeXhj_pbucWm0YxyTSdJh5-o3Q5qpNi6ZVxL8W0nbc6Ig=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/11/lengai-ole-sabaya-atoa-hoja-kadhaa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/11/lengai-ole-sabaya-atoa-hoja-kadhaa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy