Fomu za maelezo ya ujiunga na Kidato cha Kwanza (Joining Instructions)....Bofya Hapa Kupakua
HomeHabari

Fomu za maelezo ya ujiunga na Kidato cha Kwanza (Joining Instructions)....Bofya Hapa Kupakua

Ndugu Wananchi, Ofisi ya Rais – TAMISEMI kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imekamilisha zoezi la uchaguzi wa wa...


Ndugu Wananchi, Ofisi ya Rais – TAMISEMI kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imekamilisha zoezi la uchaguzi wa wanafunzi wa kujiunga na Kidato cha Kwanza mwaka 2022. 

Zoezi hilo limehusisha jumla ya wanafunzi 907,802 wakiwemo Wasichana 467,967 na Wavulana 439,835 ambao ni sawa na asilimia 81.97 ya wanafunzi waliofanya Mtihani wa Kuhitimu Elimu ya Msingi mwaka 2021. Kati ya waliofaulu na kupangiwa kujiunga na kidato cha kwanza wamo Wanafunzi wenye mahitaji maalum 2,673 sawa na asilimia 0.29 ambao kati yao wavulana ni 1,471 na wasichana 1,202.
 

Kwa mwaka 2022 kumekuwa na ongezeko la wanafunzi 73,932 sawa na asilimia 8.87 ya wanafunzi waliofaulu ukilinganisha na mwaka, 2020 ambapo jumla ya wanafunzi 833,872 walifaulu na kupata sifa ya kujiunga na masomo ya Kidato cha Kwanza.
 

_______



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Fomu za maelezo ya ujiunga na Kidato cha Kwanza (Joining Instructions)....Bofya Hapa Kupakua
Fomu za maelezo ya ujiunga na Kidato cha Kwanza (Joining Instructions)....Bofya Hapa Kupakua
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEiJtM9GFdeMS7eJjhsrYQlWjJHRhAqSotCcrcadh-U7ZQmwH8tMjkO4oCeqp-jqyRL_jWiqmscbuC-ksUzSV5G4vc57yKMSZ2uuZopNTZ3WveYv5JR1PiVZ4VDAeYt4sO5m7Kgm1ZgyN6U02iqCmsWTfBqny2KUjjx0z3wjL0L_wCgAA4kJQJQRb4joaA=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEiJtM9GFdeMS7eJjhsrYQlWjJHRhAqSotCcrcadh-U7ZQmwH8tMjkO4oCeqp-jqyRL_jWiqmscbuC-ksUzSV5G4vc57yKMSZ2uuZopNTZ3WveYv5JR1PiVZ4VDAeYt4sO5m7Kgm1ZgyN6U02iqCmsWTfBqny2KUjjx0z3wjL0L_wCgAA4kJQJQRb4joaA=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/11/fomu-za-maelezo-ya-ujiunga-na-kidato.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/11/fomu-za-maelezo-ya-ujiunga-na-kidato.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy