YANGA YATUMA SALAMU GEITA GOLD
HomeMichezo

YANGA YATUMA SALAMU GEITA GOLD

  HAJI Manara Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa watapambana na Geita Gold kwa heshima licha ya kwamba imepanda daraja msimu huu. Manara...

 


HAJI Manara Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa watapambana na Geita Gold kwa heshima licha ya kwamba imepanda daraja msimu huu.

Manara amesema baada ya kumalizika kwa mchezo dhidi ya Kagera Sugar ambao walifanikiwa kuondoka na alama  tatu kwa ushindi wa bao 1-0 wanaelekeza nguvu katika mchezo wa kesho dhidi ya Geita Gold. 

"Tunakwenda hatua kwa hatua,hatutasema sana zaidi ya hamasa kwa watu wetu.Mchezo wa  Kagera Sugar umepita, kwa sasa tunachoangalia  ni mchezo dhidi ya Geita Gold.

"Ni muhimu sana kwa kuwa ni mchezo wa kwanza nyumbani katika msimu huu. Haijalishi kwamba wamepanda daraja msimu huu lakini tunao wajibu wa kuwaheshimu kama timu ya ligi. Lakini wanapaswa kujua wanakuja kucheza na Yanga," amesema Manara.

Kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu Nasreddine Nabi kipo Dar es salaam  tayari kuwakaribisha Geita Gold kesho kwa Mkapa.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: YANGA YATUMA SALAMU GEITA GOLD
YANGA YATUMA SALAMU GEITA GOLD
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjwpzFbfBWX6gjaZh14d7GrzXvOTOmZ95Ra38esk_HwISCLlS-8JRtKcyoE6gsN7mhJJHgM4naEJbgnr_gmoAdM26Y__rFfanIoTtREr4H3uOF_T2B5Rj8K__eOvX3Ly72E7t6sFUAwEWco/w640-h640/IMG_20211001_100813_166.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjwpzFbfBWX6gjaZh14d7GrzXvOTOmZ95Ra38esk_HwISCLlS-8JRtKcyoE6gsN7mhJJHgM4naEJbgnr_gmoAdM26Y__rFfanIoTtREr4H3uOF_T2B5Rj8K__eOvX3Ly72E7t6sFUAwEWco/s72-w640-c-h640/IMG_20211001_100813_166.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/yanga-yatuma-salamu-geita-gold.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/yanga-yatuma-salamu-geita-gold.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy