Spika Wabunge Job Ndugai Kuwa Mgeni Rasmi Ufunguzi Wiki Ya Asasi Za Kiraia
HomeHabari

Spika Wabunge Job Ndugai Kuwa Mgeni Rasmi Ufunguzi Wiki Ya Asasi Za Kiraia

Na Faustine Gimu: Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai leo anatarajia kufungua  rasmi wiki ya Asasi za Kiraia(AZ...


Na Faustine Gimu:

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai leo anatarajia kufungua  rasmi wiki ya Asasi za Kiraia(AZAKI)ambapo jumla ya Asasi zaidi ya 150 zitashiriki katika maonyesho ya wiki hiyo  lengo likiwa ni kuonyesha mchango wake katika maendeleo ya Taifa.

Hayo yameelezwa jana Jijini  Dodoma na Mkurugenzi mkazi wa Christian Blind Mission (CBM) Tanzania,Nesia Mahenge wakati akizungumza na Waandishi wa Habari  kuhusu kuelekea wiki ya AZAKI ambayo itatanguliwa  na matembezi ya amani yatakayoanza saa moja asubuhi kuanzia shule ya sekondari Dodoma hadi uwanja wa Jakaya Kikwete.


Aidha amesema ,pamoja na mambo mengine wiki hii inawakutanisha wadau mbalimbali wa Maendeleo nchini ikiwemo Wananchi,Serikali,AZAKI na sekta binafsi  ambao wote kwa pamoja watajadili na kusherehekea mchango wa AZAKI katika kuleta maendeleo nchini ambapo kutakuwa na matukio mbalimbali ikiwemo huduma ya msaada wa Sheria.

Sambamba na hilo amesema katika kuunga juhudi za Serikali mapambano dhidi ya UVIKO19 watakuwa na Banda Maalum la kutoa huduma ya chanjo ya Uviko kwa wananchi na kutaka kujitokeza.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa United Nations Association (UNA) Reynald Maeda ameeleza kuwa maendeleo yanayoletwa na AZAKI si maendeleo ya kifedha tu bali katika maeneo mengine ikiwemo maendeleo ya wanachi kupitia miradi mbalimbali ikiwemo kuongeza ushirikishwaji wa watu wote kwenye jamii,kupinga ukatili wa kijinsia Kwa wanawake na Watoto pamoja na kuongeza nguvu katika ufuatiliaji wa rasilimali za umma.

 Wiki ya AZAKI hukutanisha wadau wa maendeleo kujadili masuala ya masingi kuhusu ustawi wa sekta pamoja na maendeleo ya Taifa Kwa ujumla na utawashirikisha  viongozi mbalimbali  wa Chama na  Serikali wakiwemo mabalozi wa Canada Nchini Tanzania na Balozi wa Denmark Nchini Tanzania pamoja na Balozi wa Sizaland Nchini Tanzania na itaadhimishwa Oktoba 28 Mwaka huu.

Mwisho



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Spika Wabunge Job Ndugai Kuwa Mgeni Rasmi Ufunguzi Wiki Ya Asasi Za Kiraia
Spika Wabunge Job Ndugai Kuwa Mgeni Rasmi Ufunguzi Wiki Ya Asasi Za Kiraia
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgyK2tKuYC-Sm6BbC9VFlfK23endtGq-7MFROF71TelWpMVbI5XJiORt7QwGb-s6VF_JSV8YwdUi9bVvlfOJP4rWoORTiRb4CN9SXmxw7hA6QM08l24bDV_TbS_rc0bJEf1FNBMu6Cmjq-LXpJDSOeGEaj9BU_yQXISk4zWFyH4iNILCif2hbMoIOnH8g=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgyK2tKuYC-Sm6BbC9VFlfK23endtGq-7MFROF71TelWpMVbI5XJiORt7QwGb-s6VF_JSV8YwdUi9bVvlfOJP4rWoORTiRb4CN9SXmxw7hA6QM08l24bDV_TbS_rc0bJEf1FNBMu6Cmjq-LXpJDSOeGEaj9BU_yQXISk4zWFyH4iNILCif2hbMoIOnH8g=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/spika-wabunge-job-ndugai-kuwa-mgeni.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/spika-wabunge-job-ndugai-kuwa-mgeni.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy