Mtuhumiwa Anayedaiwa Kutengeneza Vitambulisho Vya Nida Akamatwa Na Polisi
HomeHabari

Mtuhumiwa Anayedaiwa Kutengeneza Vitambulisho Vya Nida Akamatwa Na Polisi

 Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani likiongozwa na Kamanda wa Polisi mkoa huo ACP Wankyo Nyigesa linamshikiliaAbdul Selemani  miaka 27, Mlugur...

North Korea offers to put off nuke tests
France attacks: World leaders gather for mass Paris rally
Female terror suspect often spoke to 'Hebdo' gunman's wife


 Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani likiongozwa na Kamanda wa Polisi mkoa huo ACP Wankyo Nyigesa linamshikiliaAbdul Selemani  miaka 27, Mluguru, Mfanyabiashara ya stationary mkazi wa Visiga kwa kipofu, Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani kwa kosa kutengeneza nyara za Serikali. 

Kwamba Mnamo tarehe 12.10.2021 majira ya saa 11:38 jioni huko eneo la Visiga kwa Kipofu Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya dola walimkamata Abdul Selemani  miaka 27, Mluguru, Mfanyabiashara ya stationary mkazi wa Visiga kwa kipofu kwa kosa la kutengeneza na kuuza vitambulisho vya Taifa vya NIDA na kuviuza Tsh 10,000/- kwa kila kitambulisho anachotengeneza. 

Mtuhumiwa huyo amekamatwa na vifaa mbalimbali alivyokuwa anatumia kama vile;- Vitambulisho viwili vya Taifa vya NIDA, komputa mpakato, Pvc card, Desktop Computer, Monitor, Frash Disk na Printer.

Mtuhumiwa amekamatwa na atafikishwa mahakamani mara baada ya upelelezi kukamilika.


 KWA TUKIO LINGINE MTUHUMIWA ANAYEDAIWA KUTAPELI WATU MBALIMBALI AKAMATWA PWANI.


Kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani ACP Wankyo Nyigesa amesema mnamo tarehe 14/10/2021 majira ya saa 10:00 jioni huko kwa mfipa, Wilaya ya Kibaha mkoa wa Pwani, Peter Baziro ambaye pia hutumia jina la Pius Jailos Nducha amekamtwa kwa kuwatapeli watu mbalimbali kwa kuwauzia viwanja na kughushi hati za viwanja anavyoviuza na hati za mauzo.Pia

Pia amekuwa akitapeli watu na kujipatia fedha kwa kuwauzia magari, mpaka anakamatwa  amejipatia pesa kutoka kwa watu mbaliombali akiwemo Bi Jenifa Asa aliyemlipa mtuhumiwa  kiasi cha Tsh (1,400,000/=) Milioni moja na laki nne kwa lengo la kumuuzia eneo  la ukubwa wa 20 kwa 20 huku akijua kwamba sio kweli na hana eneo hilo.

Mtuhumiwa huyu amekuwa akibadilisha majina kila anapofanya tukio lakutapeli mtu ili asikamatwe. Baada ya mahojiano mtuhumiwa atafikishwa mahakamani.

Jeshi la Polisi mkoa wa Pwani linaomba mtu yeyote aliyewahi kutapeliwa na mtu huyu afike kituo cha Polisi kibaha mji kwa utambuzi.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Mtuhumiwa Anayedaiwa Kutengeneza Vitambulisho Vya Nida Akamatwa Na Polisi
Mtuhumiwa Anayedaiwa Kutengeneza Vitambulisho Vya Nida Akamatwa Na Polisi
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEhUjnJxyAG60DnELRVY3aCEqz3M18sXKFrsZ-9EWV-X8CYTnUKq9h2cyMg3l83_qAKBNjuizeKBIp7h9wMepQRlzjnrxJofAq5ax4tho7D1cMEYY2VoG1BYFj5iqfK3LvCUkfOLKt16NNUvvulN7P3gUR_kKyNBVAvxcmCl27zXTqpomejZ3_-HPbd48A=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEhUjnJxyAG60DnELRVY3aCEqz3M18sXKFrsZ-9EWV-X8CYTnUKq9h2cyMg3l83_qAKBNjuizeKBIp7h9wMepQRlzjnrxJofAq5ax4tho7D1cMEYY2VoG1BYFj5iqfK3LvCUkfOLKt16NNUvvulN7P3gUR_kKyNBVAvxcmCl27zXTqpomejZ3_-HPbd48A=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/mtuhumiwa-anayedaiwa-kutengeneza.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/mtuhumiwa-anayedaiwa-kutengeneza.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy