MSD Yaanza Kutekeleza Agizo La Waziri Mkuu La Kusambaza Dawa Nchini Kote
HomeHabari

MSD Yaanza Kutekeleza Agizo La Waziri Mkuu La Kusambaza Dawa Nchini Kote

Na Dotto Mwaibale MKURUGENZI Mkuu wa Bohari ya Dawa  (MSD) Meja Jenerali Gabriel Saul Mhidze amesema MSD inaendelea na mpango wa usambaz...


Na Dotto Mwaibale
MKURUGENZI Mkuu wa Bohari ya Dawa  (MSD) Meja Jenerali Gabriel Saul Mhidze amesema MSD inaendelea na mpango wa usambazaji dawa, vifaa tiba na vitendanishi vya maabara kama moja ya jukumu lake kwa kasi kubwa ambapo hadi kufikia Oktoba 16 hakutakuwa na kituo cha kutolea huduma za afya nchini chenye uhaba wa bidhaa za afya.
 

Amesema agizo la Waziri Mkuu la kuitaka MSD kupeleka dawa vituoni ndani ya siku saba limekuja na msukumo mkubwa kwani MSD kwa sasa imeongeza masaa zaidi ya kufanya kazi hususani kwenye maghala ya kupokelea dawa.

 

Ameongeza kuwa MSD husambaza dawa kwa kuzingatia mzunguko (ILS),yaani mara nne hadi sita kwa mwaka, lakini kutokana na agizo la Waziri Mkuu, wamechukua hatua ya kupeleka dawa hizo pindi zinapopokelewa nia ni  kuhakikisha vituo vyote vyenye uhitaji vinapokea dawa.
 

Meja Jenerali Mhidze, amesema mpaka sasa MSD imepokea makontena 16 ya dawa zenye thamani ya takribani bilioni 43 huku nyingine zikiwa njiani.
 

Alisema mbali na usambazaji huo, shehena nyingine za dawa Tani 12 zitawasili nchini alhamisi kupitia uwanja wa ndege, huku Oktoba 16 shehena yenye Tani 12 ikitarajiwa kuingia na makontena 18 yenye dawa yanatarajiwa  kuwasili nchini wakati wowote kuanzia kesho kutwa.
 

Meja Jenerali Mhidze, alisema dawa hizo zipo zitakazowasili nchini kwa kutumia ndege na bahari, lengo likiwa ni kumaliza tatizo la uhaba wa dawa lililojitokeza.



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MSD Yaanza Kutekeleza Agizo La Waziri Mkuu La Kusambaza Dawa Nchini Kote
MSD Yaanza Kutekeleza Agizo La Waziri Mkuu La Kusambaza Dawa Nchini Kote
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEiRKAay7J2XNoxCo7Z78wINO0cIsU8zxiFx4KVCLEb0zPo5c2bYVBobuPVbJtWJBitOs-w6FFJWH--vxduJiN26SkozdXFvU1wDrasvI4Nym-0y6IgInZqfKpweKFLqV6mT9T6C9qKDNdma0YqvjNIcOhOg93LEF_irNsOrfuoIQAxzT6Lw82Z-b5VLgg=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEiRKAay7J2XNoxCo7Z78wINO0cIsU8zxiFx4KVCLEb0zPo5c2bYVBobuPVbJtWJBitOs-w6FFJWH--vxduJiN26SkozdXFvU1wDrasvI4Nym-0y6IgInZqfKpweKFLqV6mT9T6C9qKDNdma0YqvjNIcOhOg93LEF_irNsOrfuoIQAxzT6Lw82Z-b5VLgg=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/msd-yaanza-kutekeleza-agizo-la-waziri.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/msd-yaanza-kutekeleza-agizo-la-waziri.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy