LIVERPOOL KUKIWASHA NA MAN CITY NA MECHI KIBAO WIKIENDI HII
HomeMichezo

LIVERPOOL KUKIWASHA NA MAN CITY NA MECHI KIBAO WIKIENDI HII

  Michezo ya Ligi ya Mabingwa imetamatika kwa michezo ya mzunguko wa pili hatua ya makundi. Macho na maskio ya mashabiki wa soka, yatakuwa...

 

Michezo ya Ligi ya Mabingwa imetamatika kwa michezo ya mzunguko wa pili hatua ya makundi. Macho na maskio ya mashabiki wa soka, yatakuwa kwenye ligi mbalimbali barani Ulaya wikiendi hii. Mambo yapo hivi viwanjani wikiendi hii;

 

Lens uso kwa uso dhidi ya Reimskatika muendelezo wa Ligue 1 kule nchini Ufaransa. Hakika, kuelekea mapumziko mafupi kupisha michezo ya Kimataifa, timu hizi zinahitaji matokeo chanya ndani ya dakika 90. Ifuate Odds ya 1.95 kwa Lens ndani ya Meridianbet.

 

Sema kimeumana kwenye LaLiga Sentander! Ni Atletico Madrid vs FC Barcelonapale Wanda Metropolitano, moto utawaka! Antoinne Griezmann na Luis Suarez kucheza na timu yao ya zamani – Barca. Huu ni msimu ambao mpaka sasa, Barca imepotea kwenye taswira ya ubingwa msimu huu. Itakuaje Jumamosi hii? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.10 kwa Atletico.


 

 Ni Super Sunday ndani ya EPL. Anfield kuwakutanisha Liverpool vs Manchester City, timu mbili zinazopigiwa chapuo la ubingwa msimu huu. City ametoka kuwafunga Chelsea huku Liverpool akitoka sare na Brentford. Hapa Jurgen Klopp, kule Pep Guardiola. Meridianbet tumekuweka Odds ya 2.55 kwa City jumapili hii.

 

Tutaifungua wiki mpya kwa mchezo kati ya Academica Clincani vs Botosani, huu ni mchezo wa Ligi Soka nchini Romania. Unaweza kutengeneza faida kwa kila mchezo ndani ya Meridianbet. Ifuate Odds ya 1.90 kwa Botosani jumatatu hii.


Meridianbet, Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: LIVERPOOL KUKIWASHA NA MAN CITY NA MECHI KIBAO WIKIENDI HII
LIVERPOOL KUKIWASHA NA MAN CITY NA MECHI KIBAO WIKIENDI HII
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEhWS1Ur2TQMYEtrAnMlF4utEKoIabnWSNjUimKEsLNONKS7TjMTJzSgD-oMJKXOPC5p2W-crhz8EbYblCIyHZUAgia4P7YaZSPtTdJUwy1wjIyzqlrLI9_0kTWP85Fcfim2avOo1sRjPY0kBVhQqnzl_OX9oifnehtJrpj9FBjQA0jVWG_KnLAYTWwAWQ=w640-h426
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEhWS1Ur2TQMYEtrAnMlF4utEKoIabnWSNjUimKEsLNONKS7TjMTJzSgD-oMJKXOPC5p2W-crhz8EbYblCIyHZUAgia4P7YaZSPtTdJUwy1wjIyzqlrLI9_0kTWP85Fcfim2avOo1sRjPY0kBVhQqnzl_OX9oifnehtJrpj9FBjQA0jVWG_KnLAYTWwAWQ=s72-w640-c-h426
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/liverpool-kukiwasha-na-man-city-na.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/liverpool-kukiwasha-na-man-city-na.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy