ACT Wazalendo Yaibwaga CCM Jimbo la Konde
HomeHabari

ACT Wazalendo Yaibwaga CCM Jimbo la Konde

Mohamed Said Issa (ACT Wazalendo), ametangazwa mshindi katika uchaguzi mdogo wa Jimbo Konde kwa kupata kura 2391 Msimamizi wa uchaguzi ...

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo July 21, 2024
Fernandes anatuma ujumbe kwa Yoro kufuatia kuhamia Man Utd.
Rakitic anarejea Ulaya kutoka Saudi Arabia miezi 6 tu baada ya kuondoka Sevilla.


Mohamed Said Issa (ACT Wazalendo), ametangazwa mshindi katika uchaguzi mdogo wa Jimbo Konde kwa kupata kura 2391

Msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo Abdallah Said Ahmed amemtangaza Jumamosi Oktoba 9, 2021 katika kituo cha majumuisho cha Halmashauri ya Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.

Katika matokeo hayo, Issa amefuatiwa na mgombea wa CCM, Mbarouk Amour Habib aliyepata kura 794 kati ya kura 3,338 zilizopigwa.

Mgombea mwingine katika uchaguzi huo Salama Khamis Omar wa CUF alipata kura 98 na Hamad Khamis Mbarouk (AAFP) akipata kura 55.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: ACT Wazalendo Yaibwaga CCM Jimbo la Konde
ACT Wazalendo Yaibwaga CCM Jimbo la Konde
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEjQstkhEqlIm60jq9Zru-0DlcKxNXEjw1Ecm-L_06NzRnFp8MjalLvU78QOy2G5Kem3VtFpEu-4cvRMF4Qku5Zd-zKtUN4M7oTfgYfNdjeZRW5E8zuiM5Ap89vW8UnKZ2XrrEAC-qr4ametzpH1hBuDIwa5F7s9s2GVP7SvuuXEtEz1TrMQnP_kw69I6Q=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEjQstkhEqlIm60jq9Zru-0DlcKxNXEjw1Ecm-L_06NzRnFp8MjalLvU78QOy2G5Kem3VtFpEu-4cvRMF4Qku5Zd-zKtUN4M7oTfgYfNdjeZRW5E8zuiM5Ap89vW8UnKZ2XrrEAC-qr4ametzpH1hBuDIwa5F7s9s2GVP7SvuuXEtEz1TrMQnP_kw69I6Q=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/act-wazalendo-yaibwaga-ccm-jimbo-la.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/10/act-wazalendo-yaibwaga-ccm-jimbo-la.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy