SAMUEL ETO'O KUWANIA URAIS
HomeMichezo

SAMUEL ETO'O KUWANIA URAIS

  NYOTA wa soka nchini Cameroon, Samuel Eto’o ametangaza kugombea Urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Cameroon. Eto’o ametoa tang...


 NYOTA wa soka nchini Cameroon, Samuel Eto’o ametangaza kugombea Urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Cameroon. Eto’o ametoa tangazo hilo  Jumanne kupitia ukurasa wake rasmi wa Facebook.

 

Nyota huyo amesema:-“Nimeamua kuchukua uamuzi huu kwasababu ya kuipenda Cameroon na kupenda soka letu. Ni wakati wa kujenga upya mpira wetu,” alielezea Eto’o katika taarifa yake hiyo.

 

Eto’o anaweza kukupambana na kizuizi kwa kile kinachodaiwa kuwa ana uraia pacha wa Hispania tangu wakati akicheza Barcelona.

 

Miongoni mwa masharti yanayotakiwa kuwa mgombea wa urais wa shirikisho la mpira wa miguu la Cameroon, ni marufuku ya kuwa na utaifa wa kigeni.

 

Samuel Eto’o ni kigogo wa tatu wa zamani kugombea urais wa shirikisho la mpira wa miguu nchini Cameroon. Hata hivyo, bado haijulikani ikiwa ugombea wake utathibitishwa. Uchaguzi umepangwa kufanyika Desemba 11.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SAMUEL ETO'O KUWANIA URAIS
SAMUEL ETO'O KUWANIA URAIS
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhMWz2niO2_isSVyadNwR1rter-bCVuB9ob-W9C5EIxGYdcge0g6Oty9BvYYhdKztWxw1c7nmMaqiu9c34GefAfRL9f0cF95h8zzp8wZqzJoV9h2j2s9IvUih6JDz-piZFUsrbBE-zx9qBY/w640-h360/Etoo.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhMWz2niO2_isSVyadNwR1rter-bCVuB9ob-W9C5EIxGYdcge0g6Oty9BvYYhdKztWxw1c7nmMaqiu9c34GefAfRL9f0cF95h8zzp8wZqzJoV9h2j2s9IvUih6JDz-piZFUsrbBE-zx9qBY/s72-w640-c-h360/Etoo.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/samuel-etoo-kuwania-urais.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/samuel-etoo-kuwania-urais.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy