ORODHA YA MAJINA YA WACHEZAJI YANGA WATAKAOSHIRIKI MASHINDANO YA KIMATAIFA
HomeMichezo

ORODHA YA MAJINA YA WACHEZAJI YANGA WATAKAOSHIRIKI MASHINDANO YA KIMATAIFA

IKIWA inajiandaa na mchezo wa kimataifa dhidi ya River United ya Nigeria unaotarajiwa kuchezwa Septemba 12, tayari mabosi hao wametuma oro...


IKIWA inajiandaa na mchezo wa kimataifa dhidi ya River United ya Nigeria unaotarajiwa kuchezwa Septemba 12, tayari mabosi hao wametuma orodha ya wachezaji watakaowatumia kimataifa.

Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa saa 11:00 jioni, Uwanja wa Mkapa ikiwa ni wa hatua ya awali katika Ligi ya Mabingwa Afrika.

Hiki hapa kikosi cha Yanga ambacho kitakuwa na kazi ya kufanya katika mashindano ya kimataifa:-

 Eric Johora,Ramadhan Kabwili na Djigui Diarra kwa upande wa walinda mlango.

Mabeki wa pembeni ni Shaban Djuma,Kibwana Shomari,Paul Godfery,Yassin Mustapha,Adeyum Saleh, David Bryson,Litombo, Dickson Job,Bakari Mwamnyeto na Abdallah Shaibu,'Ninja'.

Viungo ni Mukoko Tonombe, Feisal Salum,Khalid Aucho,Zawad Mauya,Farid Mussa, Deus Kaseke,Mapinduzi Balama na Dickson Ambundo.

Washambuliaji ni Heritier Makambo,Mayele,Ditram Nchimbi na Yusuph Athuman.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: ORODHA YA MAJINA YA WACHEZAJI YANGA WATAKAOSHIRIKI MASHINDANO YA KIMATAIFA
ORODHA YA MAJINA YA WACHEZAJI YANGA WATAKAOSHIRIKI MASHINDANO YA KIMATAIFA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg0Xr6uhlu-u2YuM6tyXkAVCZuXiQEt4JMHloQiDbRShu7I9Gpw8Ar7cfen5GH1MA1btlaOP1UBWuvao9f1q-W31jMTsm_vz-WE0AHUrHvu3B9kKjSUm9UItAzdUzR7mIJLbpvB9eAYNJX1/w616-h640/241431600_420653192736958_4760012452128442945_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg0Xr6uhlu-u2YuM6tyXkAVCZuXiQEt4JMHloQiDbRShu7I9Gpw8Ar7cfen5GH1MA1btlaOP1UBWuvao9f1q-W31jMTsm_vz-WE0AHUrHvu3B9kKjSUm9UItAzdUzR7mIJLbpvB9eAYNJX1/s72-w616-c-h640/241431600_420653192736958_4760012452128442945_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/orodha-ya-majina-ya-wachezaji-yanga.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/orodha-ya-majina-ya-wachezaji-yanga.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy