MECHI ZOTE ZA AZAM FC KIMATAIFA KUPIGWA DAR
HomeMichezo

MECHI ZOTE ZA AZAM FC KIMATAIFA KUPIGWA DAR

 UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Horseed FC unaotarajiwa kuchezwa ...


 UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Horseed FC unaotarajiwa kuchezwa kesho, Septemba 11, Uwanja wa Azam Complex.

Pia mechi zote mbili zitachezwa Dar ikiwa ni ile ya kwanza ambapo Azam FC watakuwa ni wenyeji na ile ya pili ambayo Horseed ya Somalia watakuwa wenyeji.

Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Azam FC, Zakaria Thabit amesema kuwa maandalizi yapo vizuri na wachezaji wote wapo tayari kwa ajili ya mchezo huo muhimu.

Pia ameongeza kuwa kwa maelekezo ya Shirikisho la Soka Afrika, CAF, mchezo huo wa raundi ya awali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Horseed ya Somalia, utakaochezwa kesho Jumamosi saa 1.00 usiku, hautokuwa na mashabiki.


"Maandalizi yapo vizuri na kwa taarifa kutoka kwenye benchi la ufundi ni kwamba wachezaji wamekuwa wakiendelea na mazoezi kwa ajili ya kuwa tayari na mchezo wetu dhidi ya wapinzani wetu.

"Mashabiki wetu bado tupo nao bega kwa bega hivyo dua zenu ni muhimu. Kikubwa ni kuweza kufuatilia mchezo kupitia Azam TV pamoja na radio U FM zote zitakuwa mubashara.

"Hata mchezo wa pili nao utachezwa Dar Uwanja wa Uhuru, hivyo tutapambana kupata matokeo chanya,".

Kwa sasa kikosi kinaendelea na mazoezi Dar baada ya kuweka kambi ya muda nchini Zambia, Ndola ambapo kilicheza michezo ya kirafiki kujiweka sawa.


Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MECHI ZOTE ZA AZAM FC KIMATAIFA KUPIGWA DAR
MECHI ZOTE ZA AZAM FC KIMATAIFA KUPIGWA DAR
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjptaHscNL2bhx4GqcnA5ti2am55BSuzLJK0qB4x5Zp-ptN-tiQ1ExUZdqxB3jEWd2_SCJ2Y-CjFlYDwOfp3d9wgE75hIrM0HVjsZU0jgqUgTdyw0mc6-Gp21EteFrXwSaQxNBclpCt6pwm/w640-h640/azamfcofficial-241179417_890362648275224_5279219419529114215_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjptaHscNL2bhx4GqcnA5ti2am55BSuzLJK0qB4x5Zp-ptN-tiQ1ExUZdqxB3jEWd2_SCJ2Y-CjFlYDwOfp3d9wgE75hIrM0HVjsZU0jgqUgTdyw0mc6-Gp21EteFrXwSaQxNBclpCt6pwm/s72-w640-c-h640/azamfcofficial-241179417_890362648275224_5279219419529114215_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/mechi-zote-za-azam-fc-kimataifa-kupigwa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/mechi-zote-za-azam-fc-kimataifa-kupigwa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy