MAYELE ALIMCHUNGULIA MANULA KABLA HAJAMTUNGUA KWA MKAPA
HomeMichezo

MAYELE ALIMCHUNGULIA MANULA KABLA HAJAMTUNGUA KWA MKAPA

 MSHAMBULIAJI wa Yanga, Fiston Mayele ameweka wazi kuwa alimchungulia kwa mbali mlinda mlango Aishi Manula na kuona kwamba ametoka kidogo ...


 MSHAMBULIAJI wa Yanga, Fiston Mayele ameweka wazi kuwa alimchungulia kwa mbali mlinda mlango Aishi Manula na kuona kwamba ametoka kidogo kulitanua goli jambo ambalo lilimfanya aamue haraka kupiga mpira alioupata kabla haujapoa wala kuzongwa na mabeki ili aweze kufunga.

Septemba 25, Simba ilipoteza mbele ya Yanga kwa kunyooshwa bao 1-0 ilikuwa kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii na mtupiaji alikuwa ni Mayele aliyefunga bao hilo kipindi cha kwanza kwa shuti kali la mguu wake wa kulia.

Raia huyo wa Dr. Congo ni ingizo jipya ndani ya Yanga ambapo aliibuka hapo wakati wa usajili wa dirisha kubwa na amekuwa gumzo kutokana na uwezo wake kuwa mkubwa uwanjani.


Nyota huyo amesema:"Kabla sijaupiga ule mpira niliopewa na Mussa, (Farid) tayari nilimuona kipa wa Simba, Aishi Manula akiwa amesogea kupunguza goli hivyo akili ikaniambia niuunganishe na nisitulize kwani ningempa kipa nafasi ya kujipanga na mabeki kunizonga.

"Hivyo nikaunganisha moja kwa moja nikafanikiwa kufunga ninashukuru katika hilo. Ninafurahi kuifunga Simba kwa kuwa ni moja ya jukumu langu la kufanya," amesema.

Kwa sasa kikosi cha Yanga kipo Kagera kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar unaotarajiwa kuchezwa kesho, Uwanja wa Kaitaba.

Mayele ni miongoni mwa nyota wa Yanga ambao wapo Kagera kwa ajili ya maandalizi ya mchezo huo wa ufunguzi kwao kwa msimu wa 2021/22.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MAYELE ALIMCHUNGULIA MANULA KABLA HAJAMTUNGUA KWA MKAPA
MAYELE ALIMCHUNGULIA MANULA KABLA HAJAMTUNGUA KWA MKAPA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjjE2aAZg0JkGw-viequdFS92tJ1u5V37zmPCDpPdUJ05DlQFcuq2RHDQxHKNEgrAEEvkBpoRX-S-iHE6ySB3gnXlm9UTxpMJ-ohWq7LtUmrWOf3xkOoc3pbxH7G38SvTYuu3KE0f760Kyp/w640-h426/28_manula-196183927_551891942464633_891353540212491085_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjjE2aAZg0JkGw-viequdFS92tJ1u5V37zmPCDpPdUJ05DlQFcuq2RHDQxHKNEgrAEEvkBpoRX-S-iHE6ySB3gnXlm9UTxpMJ-ohWq7LtUmrWOf3xkOoc3pbxH7G38SvTYuu3KE0f760Kyp/s72-w640-c-h426/28_manula-196183927_551891942464633_891353540212491085_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/mayele-alimchungulia-manula-kabla.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/mayele-alimchungulia-manula-kabla.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy