Jaji Elinaza Luvanda ajitoa kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na Wenzake
HomeHabari

Jaji Elinaza Luvanda ajitoa kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na Wenzake

Jaji Elinaza Luvanda wa Mahakama Kuu Divisheni ya makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi aliyekutwa anasikiliza kesi ya Uhujumu Uchumi namba 16...

Jaji Elinaza Luvanda wa Mahakama Kuu Divisheni ya makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi aliyekutwa anasikiliza kesi ya Uhujumu Uchumi namba 16/2021 yenye mashtaka sita yakiwemo ya Ugaidi, amejitoa kusikikiza kesi hiyo.
.
Sababu ya kujitoa katika kesi hiyo ni kutokana na mshtakiwa wa nne katika kesi hiyo, Mhe.Freeman Mbowe kuieleza mahakama hiyo kuwa yeye na washtakiwa wenzake watatu hawana imani na Jaji huyo na wana mashaka kama katika kuendesha kesi hiyo kama haki itatendeka.

Mbowe ametoa madai hayo leo Jumatatu Septemba 6, 2021 muda mfupi baada ya Jaji Luvanda kutupilia mbali mapingamizi mawili kati ya matatu yaliyowasilishwa mahakamani hapo dhidi ya washtakiwa hao.

Mbowe amedai kuwa wanavyoona mwenendo wa kesi yao hawatatendewa haki, hivyo wanaomba Jaji ajiondoe kusikiliza shauri hilo.



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Jaji Elinaza Luvanda ajitoa kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na Wenzake
Jaji Elinaza Luvanda ajitoa kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na Wenzake
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiVqoXNODEdNIpV09aamrHMxdWoK8clA-YE89E-msow949HJecNme1-h08ZM8Ir44cTaTLSmtIVVmCtRFBWm05FInfB6yaaS9-tbAdEW8UJZ2ydYkbFmhNcAaGA7LznwOsYh7lbIkfz04bs/s0/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiVqoXNODEdNIpV09aamrHMxdWoK8clA-YE89E-msow949HJecNme1-h08ZM8Ir44cTaTLSmtIVVmCtRFBWm05FInfB6yaaS9-tbAdEW8UJZ2ydYkbFmhNcAaGA7LznwOsYh7lbIkfz04bs/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/jaji-elinaza-luvanda-ajitoa-kesi-ya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/jaji-elinaza-luvanda-ajitoa-kesi-ya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy