JANA Yanga ilicheza mchezo wa ufunguzi na Big Bullets ambapo ulikuwa ni wa Kombe la Kagame, mashabiki wameweka wazi kwamba Yanga ni timu kub...
JANA Yanga ilicheza mchezo wa ufunguzi na Big Bullets ambapo ulikuwa ni wa Kombe la Kagame, mashabiki wameweka wazi kwamba Yanga ni timu kubwa na malengo ni kushiriki kwenye kila mashindano na kushinda.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Kuhusu kiwango cha jana baada ya ubao kusoma 1-1 bado wameweka wazi hakijawa bora huku wakiweka wazi kwamba mechi zijazo watafanya vizuri. Kuhusu watani zao wa jadi Simba wameeleza kuwa wamewazidi kwenye kila kitu.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS