USAJILI WA KIPA ARSENAL WAPONDWA KINOMA
HomeMichezo

USAJILI WA KIPA ARSENAL WAPONDWA KINOMA

 USAJILI wa kipa kutoka Sheffield United, Aaron Ramsdale ndani ya kikosi cha Arsenal umegubikwa na sitofahamu kutokana na wachambuzi wengi...


 USAJILI wa kipa kutoka Sheffield United, Aaron Ramsdale ndani ya kikosi cha Arsenal umegubikwa na sitofahamu kutokana na wachambuzi wengi wa masuala ya soka kueleza kuwa ni moja ya usajili mbovu ambao utafanyika kwa hivi karibuni ndani ya kikosi cha Arsenal huku mabosi wa mchezaji huyo wakihitaji mkwanja mrefu.

Kipa huyo Ramsdale anatajwa kuwa chaguo namba mbili la Kocha Mkuu wa Arsenal, Mikel Arteta baada ya kukosa saini ya Andre Onana ambaye anakipiga ndani ya kikosi cha Ajax.

Dau la usajili wake linatajwa kuwa ni pauni milioni 30 jambo ambalo linawafanya wengi kuamini hapo Arsenal imepigwa kwa kuwa kipa huyo hana bahati ya kucheza kwenye timu ikafanya vizuri hata ambayo anatoka kwa sasa imeshuka daraja.

Licha ya nyota huyo kuwa kwenye hatua za mwisho za kukamilisha usajili wake, bosi wa timu hiyo Slavisa Jokanovic ameweka wazi kuwa huyo bado ni mali ya Shelfield United na dau wanalohitaji ni pauni milioni 100. 

"Mpaka sasa bado ni mchezaji wa United, na hakuna jambo ambalo limebadilika kwa muda huu," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: USAJILI WA KIPA ARSENAL WAPONDWA KINOMA
USAJILI WA KIPA ARSENAL WAPONDWA KINOMA
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEh-_Y_irwGB4JilxWVNHCxTJueavwoS4Y57XALrSYlLHexTAxvVhK692VWvmVMxOU38K3XBtFKvfp8i8EEnZ4K4ll_wXjMDjEBeoubo_QSnnm4DP5qZ1JIFm15Dhg_JB5-L-Wfl4mdq8mMGIxAL3iRK-eJ_OOu1xO6iNRgBaznvPfmeZlkpvxCJ6_chUA=w640-h442
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEh-_Y_irwGB4JilxWVNHCxTJueavwoS4Y57XALrSYlLHexTAxvVhK692VWvmVMxOU38K3XBtFKvfp8i8EEnZ4K4ll_wXjMDjEBeoubo_QSnnm4DP5qZ1JIFm15Dhg_JB5-L-Wfl4mdq8mMGIxAL3iRK-eJ_OOu1xO6iNRgBaznvPfmeZlkpvxCJ6_chUA=s72-w640-c-h442
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/usajili-wa-kipa-arsenal-wapondwa-kinoma.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/usajili-wa-kipa-arsenal-wapondwa-kinoma.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy