NYOTA WA SIMBA KUIBUKIA NAMUNGO FC
HomeMichezo

NYOTA WA SIMBA KUIBUKIA NAMUNGO FC

 KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Miraj Athuman inaelezwa kuwa yupo kwenye hesabu za kutua ndani ya Namungo FC ya Lindi. Nyota huyo mzawa kwa...

 KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Miraj Athuman inaelezwa kuwa yupo kwenye hesabu za kutua ndani ya Namungo FC ya Lindi.


Nyota huyo mzawa kwa msimj wa 2020/21 hajawa katika ubora wake ndani ya Ligi Kuu Bara kutokana na kusumbuliwa na majeraha ya mara kwa mara pamoja na ushindani wa namba.



Kwa nafasi ambayo anacheza ndani ya Simba inayonolewa na Didier Gomes ni Luis Miquissone na Clatous Chama walikuwa wakitumika mara kwa mara.


Habari zinaeleza kuwa nyota huyo hajaongezewa mkataba mpya kwa kuwa dili lake la miaka miwili alilosaini akitokea Lipuli limemeguka.


"Sheva bado hajaongezewa mkataba na bado hajazungumza na mabosi wa Simba hivyo inawezekana akaondoka Simba ama akabaki kutokana na maamuzi ya mwalimu," ilieleza taarifa hiyo.


Kuhusu suala hilo hivi karibuni meneja wa Simba, Patrick Rweyemamu alisema kuwa ikifika wakati kila kitu kitawekwa wazi.


Ofisa Habari wa Namungo,  Kidamba Namlia alisema kuwa masuala ya usajili anayesimamia ni Katibu Mkuu wa Namungo hivyo hawezi zungumzia suala la Sheva.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: NYOTA WA SIMBA KUIBUKIA NAMUNGO FC
NYOTA WA SIMBA KUIBUKIA NAMUNGO FC
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh6V0OQbQY-F0iVP4FqeMyLKYuqtMaEMndyjaXi3Iuy-VVyztvsKLoyJHthBWTTPKwP9B6CWw7zSPcE2piaYZ0s3WKJAgYeY4WEJPhFOEVydOeyZEEUqTHpWr6HqXZZacOa3kNW2puDCQWA/w640-h382/Screenshot_20210731-164542_Instagram.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh6V0OQbQY-F0iVP4FqeMyLKYuqtMaEMndyjaXi3Iuy-VVyztvsKLoyJHthBWTTPKwP9B6CWw7zSPcE2piaYZ0s3WKJAgYeY4WEJPhFOEVydOeyZEEUqTHpWr6HqXZZacOa3kNW2puDCQWA/s72-w640-c-h382/Screenshot_20210731-164542_Instagram.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/nyota-wa-simba-kuibukia-namungo-fc.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/nyota-wa-simba-kuibukia-namungo-fc.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy