LUKAKU ACHEKELA KURUDI CHELSEA, KAZI IMEANZA
HomeMichezo

LUKAKU ACHEKELA KURUDI CHELSEA, KAZI IMEANZA

 INGIZO jipya ndani ya kikosi cha Chelsea kinachonolewa na Thomas Tuchel, Romelu Lukaku ameaza mazoezi akiwa na timu yake hiyo mpya inayos...


 INGIZO jipya ndani ya kikosi cha Chelsea kinachonolewa na Thomas Tuchel, Romelu Lukaku ameaza mazoezi akiwa na timu yake hiyo mpya inayoshiriki Ligi Kuu England huku akiweka bayana kwamba ni furaha kwake kurudi katika kikosi hicho.

Lukaku alijiunga na Chelsea akitokea Klabu ya Inter Milan inayoshiriki Serie A ikiwa ni mara ya pili kurejea hapo kwa kuwa awali aliuzwa 2014 kuelekea Everton.



Usajili wake kutoka Inter Milan umegharimu pauni milioni 97.5 na ni usajili wa rekodi kubwa ndani ya kikosi hicho kwa msimu huu ambao tayari umekwisha kuanza huku nchini England.

Ndani ya Inter Milan kwenye mechi 95 chini ya Kocha Mkuu, Antonio Conte msimu uliopita alifunga jumla ya mabao 64. Mazoezi ambayo wanayafanya kwa sasa ni kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu England dhidi ya Arsenal,utachezwa Uwanja wa Emirates, Jumapili na huenda nyota huyo akawa sehemu ya mchezo.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: LUKAKU ACHEKELA KURUDI CHELSEA, KAZI IMEANZA
LUKAKU ACHEKELA KURUDI CHELSEA, KAZI IMEANZA
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEiuTUgzcoX8PIdTySxemY7tPtbxa3Xc4ZZGxWz84l5aT6VrdAOqPzTyj9kjyV7ELuQIjWPj4GowSuWE5SOQxEwD3ZIjKNeTA5TL7MYwzXNj3W9SG5RafEInMkRyAd8jsYYigP3eAy8FiL6X3X9mIZkTIExXTS_YEHZXnINiRAmn5o3wvqI9lrh5rIzi_g=w640-h364
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEiuTUgzcoX8PIdTySxemY7tPtbxa3Xc4ZZGxWz84l5aT6VrdAOqPzTyj9kjyV7ELuQIjWPj4GowSuWE5SOQxEwD3ZIjKNeTA5TL7MYwzXNj3W9SG5RafEInMkRyAd8jsYYigP3eAy8FiL6X3X9mIZkTIExXTS_YEHZXnINiRAmn5o3wvqI9lrh5rIzi_g=s72-w640-c-h364
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/lukaku-achekela-kurudi-chelsea-kazi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/lukaku-achekela-kurudi-chelsea-kazi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy