AZAM FC SERA YAO MPYA NI MWENDO WA KIMYAKIMYA
HomeMichezo

AZAM FC SERA YAO MPYA NI MWENDO WA KIMYAKIMYA

  UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa msimu huu watakua na mwendo wa toauti tofauti na msimu mpya hivyo sera yao ambayo wameizindua itawafanya...


 UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa msimu huu watakua na mwendo wa toauti tofauti na msimu mpya hivyo sera yao ambayo wameizindua itawafanya wafanye mambo mengi makubwa.

Agosti 16, Azam FC ilitambulisha sera yao rasmi ambayo itatumika kwa msimu wa 2021/22 ndani ya Ligi Kuu Bara.


Msimu uliopita wa 2020/21 Azam FC ilikuwa na sera inayokwenda kwa Azam FC tuna jambo letu na iliwafanya waweze kumaliza nafasi ya tatu kwenye msimamo.

Walikusanya kibindoni pointi 68 na kufunga mabao 50 huku wao wakiokota nyavuni mabao 22.

Ofisa Habari wa Azam FC, Zakaria Thabit, 'Zakazakazi ' amesema kuwa msimu huu wanakuja na sera mpya watakayotumia tofauti na ile ya msimu uliopita.

"Tulikuwa na 'Jambo letu' msimu uliopita ila kwa msimu ujao tutakuwa na slogan ya 'Kimyakimya' katika mambo ambayo tunayafanya.

"Ndio maana unaona kwamba tumekuwa na mambo kimyakimya, tumezundua nembo mpya na hatujawa na kelele nyingi kwa sasa na bado tunaendelea,"

Pia Azam FC imetambulisha nafasi mpya kwenye sekta ya mpira ndani ya Tanzania ambayo ni ile ya Mkurugenzi wa Mpira iliyopo mikononi mwa Dr. Jonas Tiboroha aliyepewa dili la mwaka mmoja.




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: AZAM FC SERA YAO MPYA NI MWENDO WA KIMYAKIMYA
AZAM FC SERA YAO MPYA NI MWENDO WA KIMYAKIMYA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhow1nh1SBUAjllNZ14kJj9T3ePEMmg6X6m9q2J1khmInRR_WXHaIUYYde2xFpx9B5N5TwjdDDsGdgSp60Kas6SjPkPUwIRysZMW6V2XwRCY9G8kxq9aKIHcUJyZDCiESlPZwwmPlsaJUkB/w640-h524/azamfcofficial-237460804_448077432866202_5764406466948293810_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhow1nh1SBUAjllNZ14kJj9T3ePEMmg6X6m9q2J1khmInRR_WXHaIUYYde2xFpx9B5N5TwjdDDsGdgSp60Kas6SjPkPUwIRysZMW6V2XwRCY9G8kxq9aKIHcUJyZDCiESlPZwwmPlsaJUkB/s72-w640-c-h524/azamfcofficial-237460804_448077432866202_5764406466948293810_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/azam-fc-sera-yao-mpya-ni-mwendo-wa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/azam-fc-sera-yao-mpya-ni-mwendo-wa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy