AZAM FC, KMKM ZATINGA HATUA YA NUSU FAINALI KAGAME

USHINDI wa mabao 3-2 dhidi ya Azam FC ambao waliupata KMKM kwenye mchezo wa hatua ya makundi ya Kombe la Kagame unafanya timu hizo mbili z...


USHINDI wa mabao 3-2 dhidi ya Azam FC ambao waliupata KMKM kwenye mchezo wa hatua ya makundi ya Kombe la Kagame unafanya timu hizo mbili zote kutinga hatua ya nusu fainali.

Azam FC kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex haikuwa na cha kupoteza kwa sababu iliweka rekodi ya kutinga hatua ya nusu fainali ikiwa na mechi moja mkononi.

Sasa katika hatua ya nusu fainali ni timu mbili kutoka Tanzania zitacheza ambapo ni Azam FC na KMKM zote kutoka katika kundi B.

Wawakilishi wengine wa Tanzania ambao walikuwa ni Yanga walifungashiwa virago jana kutoka katika kundi A ambalo walikuwepo baada ya kupoteza kwa kufungwa mabao 3-1 dhidi ya Express ya Uganda.

Sasa nusu fainali ni:- Express FC vs KMKM SC.
 na Azam FC vs Nyasa Big Bullets ambapo washindi wa kila hatua watakutana hatua ya fainali.

Aliyekuwa bingwa mtetezi wa taji la Kagame, KCCA alishavuliwa ubingwa kwa kuwa kwenye kundi B ambalo alikuwepo alikusanya pointi tatu na kumaliza akiwa nafasi ya nne. 


Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly

COMMENTS

BLOGGER
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3391,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,530,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: AZAM FC, KMKM ZATINGA HATUA YA NUSU FAINALI KAGAME
AZAM FC, KMKM ZATINGA HATUA YA NUSU FAINALI KAGAME
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhjhULOtYiHCq06dAH6_-ymmDbsNBb5Dk8GuCv-za_9h4WR9R2FgSJNTb7ZNvQHrHCOIaCKe54ylpImdWZzRBhRM0k3_f9aAmLCHT4o0W-9ZcfYXixSvIZmbrseF-cReVPmM9qDkZg4zvon/w640-h640/azamfcofficial-233852086_3098038733775554_8470861248163400834_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhjhULOtYiHCq06dAH6_-ymmDbsNBb5Dk8GuCv-za_9h4WR9R2FgSJNTb7ZNvQHrHCOIaCKe54ylpImdWZzRBhRM0k3_f9aAmLCHT4o0W-9ZcfYXixSvIZmbrseF-cReVPmM9qDkZg4zvon/s72-w640-c-h640/azamfcofficial-233852086_3098038733775554_8470861248163400834_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/azam-fc-kmkm-zatinga-hatua-ya-nusu.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/azam-fc-kmkm-zatinga-hatua-ya-nusu.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy