REAL MADRID HESABU ZAO KWA VARANE ZIMEGOMA
HomeMichezo

REAL MADRID HESABU ZAO KWA VARANE ZIMEGOMA

 KLABU ya Real Madrid imegoma kumuongezea mkataba beki wao Raphael Varane ambaye anatajwa kuwaniwa na Manchester United. Nyota huyo awali...


 KLABU ya Real Madrid imegoma kumuongezea mkataba beki wao Raphael Varane ambaye anatajwa kuwaniwa na Manchester United.

Nyota huyo awali ilikuwa inaelezwa kuwa mabosi wa Real Madrid hawakuwa tayari kumuuza kwenda Manchester United kutokana na mpango wao wa kumpata Paul Pogba kugonga mwamba.

Kwa sasa inaelezwa kuwa Varane yupo kwenye mazungumzo na Manchester United nayonolewa na Kocha Mkuu, Ole Gunnar Solskajer ambaye anahitaji saini ya beki huyo.

Ikiwa Varane atasepa ndani Madrid itakuwa ni pigo jingine kwa timu hiyo kwa kuwa iliachana na beki wao kisiki, Sergio Ramos ambaye mkataba wake ulimeguka na hakuongeza mwingine.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: REAL MADRID HESABU ZAO KWA VARANE ZIMEGOMA
REAL MADRID HESABU ZAO KWA VARANE ZIMEGOMA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjdsRu628sCjqykbhlf2DrhCgcJKYdLyyyojI_MwPwKXbajkYrw0YuTw0DuN_Kd9ZrfwsVwr3Vm5i5m7dJhBf6dB8JdSWbDj9JyXTW204A_rFKU8PQDuXKY5ckwtGt1fxhpxzuL4LOTLYa9/w640-h426/Raphael.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjdsRu628sCjqykbhlf2DrhCgcJKYdLyyyojI_MwPwKXbajkYrw0YuTw0DuN_Kd9ZrfwsVwr3Vm5i5m7dJhBf6dB8JdSWbDj9JyXTW204A_rFKU8PQDuXKY5ckwtGt1fxhpxzuL4LOTLYa9/s72-w640-c-h426/Raphael.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/real-madrid-hesabu-zao-kwa-varane.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/real-madrid-hesabu-zao-kwa-varane.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy