MWAKINGWE: SIWADAI WACHEZAJI, KILICHOTOKEA TANGA KILA MTU AMEONA
HomeMichezo

MWAKINGWE: SIWADAI WACHEZAJI, KILICHOTOKEA TANGA KILA MTU AMEONA

 ULIMBOKA Mwakingwe, Kocha Mkuu wa Pamba FC ya Mwanza amesema kuwa hawadai wachezaji wake kwa kuwa walipambana mwanzo mwisho. Ni katika mc...

MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE
SIMBA YAFUNGUKIA ISHU YA CARLINHOS KUSAINI MKATABA KWAO

 ULIMBOKA Mwakingwe, Kocha Mkuu wa Pamba FC ya Mwanza amesema kuwa hawadai wachezaji wake kwa kuwa walipambana mwanzo mwisho.


Ni katika mchezo wa mtoano ambapo walikuwa wakisaka nafasi ya kushiriki Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union. 



Mchezo wa kwanza Mwanza walipata sare ya kufungana mabao 2-2 ngoma ilipopigwa Tanga ikawa Coastal Union 3-1 Pamba jambo lililowafungashia virago jumlajumla Pamba.


Kocha huyo amesema:"Siwadai wachezaji wangu wamepambana kwa jasho kusaka ushindi ila mwisho wa siku bahati haijawa upande wetu.


"Mpira ni mchezo wa wazi nadhani kila mtu ameona ambacho kimetokea Tanga. Japo hatujapata nafasi lakini siwadai wachezaji. 


"Kwa hatua ambayo tumefika wanastahili pongezi nasi tunakwenda kujipanga kwa ajili ya wakati ujao,".


Pamba inapambana kurejea ndani ya Ligi Kuu Bara kwa kuwa ni miaka 20 imeshayeyuka baada ya timu hiyo kushuka na kushiriki Ligi Daraja la Kwanza.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MWAKINGWE: SIWADAI WACHEZAJI, KILICHOTOKEA TANGA KILA MTU AMEONA
MWAKINGWE: SIWADAI WACHEZAJI, KILICHOTOKEA TANGA KILA MTU AMEONA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgMblpqI1SE0RcI6rwar6WHu5CJWEqix49xEApkQr85wtyaaKHizNMhka0ysz5v8PaN-dtk423F-2HlRs2jdI1qDZZ6dez7hpQ1VrUhA8wSFlaDI3l6KG5wyyv8omVdTxSVr308n572M8yU/w640-h638/Screenshot_20210729-081116_Instagram.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgMblpqI1SE0RcI6rwar6WHu5CJWEqix49xEApkQr85wtyaaKHizNMhka0ysz5v8PaN-dtk423F-2HlRs2jdI1qDZZ6dez7hpQ1VrUhA8wSFlaDI3l6KG5wyyv8omVdTxSVr308n572M8yU/s72-w640-c-h638/Screenshot_20210729-081116_Instagram.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/mwakingwe-siwadai-wachezaji.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/mwakingwe-siwadai-wachezaji.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy