MTAMBO WA MABAO SIMBA KAMILI KUIVAA YANGA
HomeMichezo

MTAMBO WA MABAO SIMBA KAMILI KUIVAA YANGA

  M SHAMBULIAJI  wa Simba, raia  wa DR Congo Chriss Mugalu,  amerejea kuwavaa Yanga hii  ni baada ya kukosa mechi mbili  zilizopita kutoka...


 MSHAMBULIAJI wa Simba, raia wa DR Congo Chriss Mugalu, amerejea kuwavaa Yanga hii ni baada ya kukosa mechi mbili zilizopita kutokana na kuwa na maumivu ya msuli.

 

Mugalu ambaye mpaka sasa ana mabao 10 kwenye msimamo wa wafungaji bora Ligi Kuu Bara, aliumia mguu kwenye mchezo dhidi ya Polisi Tanzania ulioisha kwa Simba kushinda bao 1-0.


Mchezo huo wa Ligi Kuu Bara ulichezwa Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza na bao la ushindi lilifungwa na kiungo Luis Miqiussone aliyepachika bao hilo kwa pigo huru.


 Daktari Mkuu wa Simba, Yassin Gembe amesema kuwa: “Hali ya Mugalu ipo vizuri kwa sasa na ameanza mazoezi na wenzake, yupo katika hali nzuri na ni chaguzi ya kocha kutaka kumtumia.

 

“Kwa sasa hatuna majeruhi hata mmoja wachezaji wote wapo sawa kuelekea mchezo dhidi ya Yanga.” 


Kesho Julai 3, Simba inatarajiwa kumenyana na Yanga kwenye mchezo wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MTAMBO WA MABAO SIMBA KAMILI KUIVAA YANGA
MTAMBO WA MABAO SIMBA KAMILI KUIVAA YANGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgpuB11oSaoQrFd55ZEmrAKdAuorZp4Ge03L7i7mN3dZX4IgmRFjePdq48Ayi5BUv7ucCC_wjn5qEFlj2VWH7Q1BuFWl4KPoJBc7BV907jfOolsaMnwMF9pAbe-BoP49fbCAkqTR3mFKD5q/w640-h640/Mugalu.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgpuB11oSaoQrFd55ZEmrAKdAuorZp4Ge03L7i7mN3dZX4IgmRFjePdq48Ayi5BUv7ucCC_wjn5qEFlj2VWH7Q1BuFWl4KPoJBc7BV907jfOolsaMnwMF9pAbe-BoP49fbCAkqTR3mFKD5q/s72-w640-c-h640/Mugalu.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/mtambo-wa-mabao-simba-kamili-kuivaa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/mtambo-wa-mabao-simba-kamili-kuivaa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy