MORRISON WA KIGOMA BEGA KWA BEGA NA MZEE DALALI, MCHETUAJI AMWAMBIA AKASOME
HomeMichezo

MORRISON WA KIGOMA BEGA KWA BEGA NA MZEE DALALI, MCHETUAJI AMWAMBIA AKASOME

 MZEE Hassan Dalali amesema kuwa miongoni mwa mashabiki ambao wanaompenda pia ni pamoja na Bernard Morrison wa Kigoma. Morrison huyo alipa...

INGIZO JIPYA YANGA LATUMIA DAKIKA 10 UWANJANI BILA KUGUSA MPIRA
MCHEZO MZIMA NAMNA SIMBA ILIVYOBWANA MBAVU NA AZAM FC
MOROCCO MABINGWA WA CHAN, STARS WASHUHUDIA WAKIWA KWENYE MAKOCHI

 MZEE Hassan Dalali amesema kuwa miongoni mwa mashabiki ambao wanaompenda pia ni pamoja na Bernard Morrison wa Kigoma.


Morrison huyo alipata pia bahati ya kuonana na mchetuaji mwenyewe Morrison ambapo alimwambia jambo la msingi ambalo anapaswa kulifanya ni kwenda shule.

Sababu kubwa ya kumwambia hivi ni pale ambapo walikuwa hawaelewani lugha kwa kuwa Morrison alikuwa anaongea Kiingereza jambo lililokuwa linampa tabu Morrison wa Kigoma.

Morrison alimpa zawadi ya jezi yake yenye namba tatu na kumuambia pia baada ya mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho waonane.


Kwa upande wa Dalali ambaye ni Mwenyekiti wa zamani wa Simba amesema kuwa yupo pamoja na Morrison wa Kigoma ambaye anampenda pia.


"Morrison wa Kigoma anampemda Dalali, kwetu sisi Simba ni amani na upendo hivyo tunapendana wakati wote," amesema. 


Kesho Julai 25, Simba itakuwa na kazi ya kusaka ushindi mbele ya Yanga ambao nao pia watakuwa wanasaka ushindi katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho,  mwisho wa reli Kigoma.




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MORRISON WA KIGOMA BEGA KWA BEGA NA MZEE DALALI, MCHETUAJI AMWAMBIA AKASOME
MORRISON WA KIGOMA BEGA KWA BEGA NA MZEE DALALI, MCHETUAJI AMWAMBIA AKASOME
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgcIklOnPrnjp_qidfDg-qdHxGE3nX733ZLCc7EKhlJ7J7rVJI_G7gl1Ylv5WQr1hbX1ylLntTdzJ7ZShCMYBm4QDh_mOzS9ob_cVzZZVDriGFu-Ak3C0xnEHa61puaCycogKpC4YZmgwT0/w480-h640/IMG-20210724-WA0000.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgcIklOnPrnjp_qidfDg-qdHxGE3nX733ZLCc7EKhlJ7J7rVJI_G7gl1Ylv5WQr1hbX1ylLntTdzJ7ZShCMYBm4QDh_mOzS9ob_cVzZZVDriGFu-Ak3C0xnEHa61puaCycogKpC4YZmgwT0/s72-w480-c-h640/IMG-20210724-WA0000.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/morrison-wa-kigoma-bega-kwa-bega-na.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/morrison-wa-kigoma-bega-kwa-bega-na.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy