MICHAEL SARPONG AIGOMEA YANGA
HomeMichezo

MICHAEL SARPONG AIGOMEA YANGA

  L ICHA ya kusamehewa  na kutakiwa kurejea  kambini, lakini  mshambuliaji wa  Yanga, Mghana, Michael  Sarpong ameonesha hali ya  kugoma....

 


LICHA ya kusamehewa na kutakiwa kurejea kambini, lakini mshambuliaji wa Yanga, Mghana, Michael Sarpong ameonesha hali ya kugoma.

 

Hivi karibuni, Sarpong na Lamine Moro walirejeshwa kikosini baada ya nyota hao kusimamishwa kwa utovu wa nidhamu.

Wakati Moro akiripoti kambini na Jumapili alicheza mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji, Sarpong hakuripoti.

 

Kwa mujibu wa taarifa ambazo imezipata Spoti Xtra, mshambuliaji huyo alitakiwa kuripoti kambini tangu Jumatano ya wiki iliyopita kwa ajili ya kuanza maandalizi ya kumalizia msimu.


Mtoa taarifa huyo alisema sababu haijajulikana ya yeye kugomea kambi hiyo wakati timu hiyo ikijiandaa na fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam dhidi ya Simba Julai 25.

 

Sarpong bado hajarudi kazini, licha ya kusamehewa na kutakiwa kuripoti kambini tangu wiki iliyopita.

 

“Hivyo huenda asiwepo katika orodha ya wachezaji tutakaowatumia katika mchezo ujao wa Kariakoo Dabi dhidi ya Simba,” alisema mtoa taarifa huyo.

 

Alipotafutwa Ofisa Habari wa Yanga, Hassani Bumbuli, kuzungumzia hilo, alisema: “Sarpong bado hajarudi kazini, licha ya kusamehewa, kuhusu kuachwa hilo mimi silifahamu.”



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MICHAEL SARPONG AIGOMEA YANGA
MICHAEL SARPONG AIGOMEA YANGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjGebmAHXDdbpeZ3jCa_xs5gvVtJtPYX1jdKceo6oMLv9K1cJkZyyQun5jFXBg-IZuQ4zkw0kMciH9zkcFz1-aj0QGTPI5svICZW2q00flsQWV9yMnFvdQp7id_a9bKLUjOKM7loVIFgyVv/w622-h640/finally_sarpong19-119691057_325553191989069_7017791267500802946_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjGebmAHXDdbpeZ3jCa_xs5gvVtJtPYX1jdKceo6oMLv9K1cJkZyyQun5jFXBg-IZuQ4zkw0kMciH9zkcFz1-aj0QGTPI5svICZW2q00flsQWV9yMnFvdQp7id_a9bKLUjOKM7loVIFgyVv/s72-w622-c-h640/finally_sarpong19-119691057_325553191989069_7017791267500802946_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/michael-sarpong-aigomea-yanga.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/michael-sarpong-aigomea-yanga.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy