Mbowe Afikishwa Mahakamani na Kusomewa Makosa ya Ugaidi
HomeHabari

Mbowe Afikishwa Mahakamani na Kusomewa Makosa ya Ugaidi

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jana  na kuso...

Cyprian Musiba aamuriwa na Mahakama kumlipa Benard Membe Bilioni 6
Jiandae Na Simu Ya Kwanza Ya Infinix Yenye Speed Kubwa Kuwahi Kutokea.
Aliyekuwa Msaidizi wa Lengai Ole Sabaya atoa ushahidi kesi ya Freeman Mbowe na Wenzake


Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jana  na kusomewa mashtaka mawili ikiwemo la ugaidi.

Mbowe amefikishwa katika Mahakama hiyo jana  July 26, 2021 na kusomewa mashataka hayo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba ambapo akisoma hati ya mashtaka, Wakili wa Serikali Tulimanjwa Majigo amesema kuwa Mbowe anaunganishwa na Washtakiwa wengine watatu waliokuwa wanakabiliwa na mashtaka mengine yote ya ugaidi wanayodaiwa kuyatenda mwaka 2020.

Katika kosa la kwanza Mbowe anadaiwa kula njama ya kutenda kosa ambapo anadaiwa kula njama hiyo kati ya Mei na Agosti 2020 akiwa katika Hoteli ya Aishi Mkoani Kilimanjaro, kosa la pili la Mbowe ni kutoa fedha kwa ajili ya kufadhili ugaidi kinyume cha sheria ya ugaidi kati ya tarehe hizo tajwa.

Baada ya kusomewa maelezo Mbowe hakutakiwa kujibu chochote kwa kuwa Mahakama hiyo haina mamlaka, kesi imeahirishwa hadi Agosti 5, 2021 na upelelezi umekamilika ambapo zinasubiriwa nyaraka ili ihamishiwe Mahakama kuu.



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Mbowe Afikishwa Mahakamani na Kusomewa Makosa ya Ugaidi
Mbowe Afikishwa Mahakamani na Kusomewa Makosa ya Ugaidi
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiOnrx3Mmp6OfnaR7NBWFR7CHFVqUlaNVYT1YnaB8gEAuy6O9OIiRnW1EhlWLIi3av4jmnSQtUK7IeVAdShFJxvZV5s924URs3VpqHQw9ybE6XVl3_YdKfWZjIIlmPG9Wkopbg6pDXRJMKo/s16000/1.webp
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiOnrx3Mmp6OfnaR7NBWFR7CHFVqUlaNVYT1YnaB8gEAuy6O9OIiRnW1EhlWLIi3av4jmnSQtUK7IeVAdShFJxvZV5s924URs3VpqHQw9ybE6XVl3_YdKfWZjIIlmPG9Wkopbg6pDXRJMKo/s72-c/1.webp
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/mbowe-afikishwa-mahakamani-na-kusomewa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/mbowe-afikishwa-mahakamani-na-kusomewa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy