ERIKSEN KURUDI UWANJANI INTER MILAN
HomeMichezo

ERIKSEN KURUDI UWANJANI INTER MILAN

 KIUNGO Christian Eriksen anatarajiwa kurejea kwenye timu yake ya Inter Milan kwa ajili ya kufanyiwa vipimo ili aweze kurudi uwanjani kuende...

KIKOSI CHA SIMBA KINACHOTARAJIWA KUANZA DHIDI YA AFRICAN LYON
AZAM FC HESABU ZAO NI KWA MBUNI
ZIDANE:NGUVU KUBWA NA KUJILINDA SABABU YA USHINDI

 KIUNGO Christian Eriksen anatarajiwa kurejea kwenye timu yake ya Inter Milan kwa ajili ya kufanyiwa vipimo ili aweze kurudi uwanjani kuendelea na majukumu yake.



Ericksen alidondoka kwenye mchezo wa Euro 2020 akiwa anaitumikia Denmark na baadaye ilielezwa kuwa anasumbuliwa na matatizo ya moyo.

Inter Milan wamesema kwamba pamoja na kwamba mchezaji huyo amekuwa akipata matibabu lakini wenyewe wanatakiwa kumfanyia vipimo upya kabla ya kurejea uwanjani.


Timu hiyo imesema kuwa inataka kutambua ni tatizo gani ambalo lilimpata nyota huyo wakiamini kuwa anaweza kurejea uwanjani kwa nguvu.


Kwa sasa nyota huyo mwenye miaka 29 yupo jijini Copenhagen baada ya kuondoka hospital mwezi uliopita.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: ERIKSEN KURUDI UWANJANI INTER MILAN
ERIKSEN KURUDI UWANJANI INTER MILAN
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgVdUSPCWfCUFddaSjyKdfsdcKy-6E6EL75wRTkZo9N-ciBL0lPOiF8YO0BQrNaDMc8sFPbtrJI_zOMcK-gJudyu5U2Mt5oyXkXKSBuRtrS2F9WGApCMSXxnZTzKFUD0qHe4RIbfi6j0ro-/w640-h438/Screenshot_20210730-081543_Instagram.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgVdUSPCWfCUFddaSjyKdfsdcKy-6E6EL75wRTkZo9N-ciBL0lPOiF8YO0BQrNaDMc8sFPbtrJI_zOMcK-gJudyu5U2Mt5oyXkXKSBuRtrS2F9WGApCMSXxnZTzKFUD0qHe4RIbfi6j0ro-/s72-w640-c-h438/Screenshot_20210730-081543_Instagram.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/eriksen-kurudi-uwanjani-inter-milan.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/eriksen-kurudi-uwanjani-inter-milan.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy