YANGA YAWAITA WANACHAMA KWA WINGI KUWA SEHEMU YA HISTORIA
HomeMichezo

YANGA YAWAITA WANACHAMA KWA WINGI KUWA SEHEMU YA HISTORIA

  LEO Juni 27 Klabu ya Yanga imepanga kufanya mkutano mkuu wa kawaida wenye ajenda 12 zilizoanishwa na Mwenyekiti wa Klabu hiyo, Mshindo ...

SIMBA WATAMBA KUWAPIGA AL MERRIKH MAPEMA LEO
KIKOSI CHA SIMBA KINACHOTARAJIWA KUANZA LEO DHIDI YA AL MERRIKH
LIVERPOOL YASEPA NA POINTI TATU ZA WOLVES

 


LEO Juni 27 Klabu ya Yanga imepanga kufanya mkutano mkuu wa kawaida wenye ajenda 12 zilizoanishwa na Mwenyekiti wa Klabu hiyo, Mshindo Msola kwa kushirikiana na Kamati ya Utendaji.

Mkutano huo utafanyika kwenye Ukumbi wa DYCCC, Chang'ombe, Dar kuanzia majira ya saa 4:00 asubuhi.

Wanaoruhusiwa kuwasili katika mkutano huo ni wanachama hao wa Yanga ambao wameshalipia kadi zao na zoezi hilo la ulipaji ni endelevu kwa Wanachama wa Yanga.

Kwa mujibu Msolla amesema kuwa moja ya ajenda muhimu n pamoja na wanachama kupitisha mfumo mpya wa uendeshaji ndani ya Klabu ya Yanga.

Msolla amesema:-"Wanachama kupitisha mfumo mpya wa klabu yetu, hili ni jambo ambalo kwa muda mrefu limekuwa likisubiriwa yamekuwa ni matamanio ya Wanayanga wengi, sasa hatimaye uongozi wenu umeweza kufanikisha jambo hilo.

"Niwaombe wanachama ambao watakuja kwenye mkutano wajichukulie kwamba wao ni sehemu ya historia ya kubadili muundo wa klabu yetu, tuna imani kubadili muundo itafanya timu iendeshwe kisasa," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: YANGA YAWAITA WANACHAMA KWA WINGI KUWA SEHEMU YA HISTORIA
YANGA YAWAITA WANACHAMA KWA WINGI KUWA SEHEMU YA HISTORIA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhF7BCem-_pjSClQUC3xLQrQMf5m9FvH23k3wv9nYZb7zEpmwXLBCNXo1-n9zVPox9JQT0MEavPaqqFYegoKY5sUpVWZT_RZwIDHtjKVrm4042bRcRhLf95PSyDHnXkk46xmmjEXyVk8UwX/w640-h434/Yanga+kikosi.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhF7BCem-_pjSClQUC3xLQrQMf5m9FvH23k3wv9nYZb7zEpmwXLBCNXo1-n9zVPox9JQT0MEavPaqqFYegoKY5sUpVWZT_RZwIDHtjKVrm4042bRcRhLf95PSyDHnXkk46xmmjEXyVk8UwX/s72-w640-c-h434/Yanga+kikosi.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/yanga-yawaita-wanachama-kwa-wingi-kuwa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/yanga-yawaita-wanachama-kwa-wingi-kuwa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy