MANCHESTER CITY NA UNITED ZAIPIGIA HESABU SAINI YA RAMOS
HomeMichezo

MANCHESTER CITY NA UNITED ZAIPIGIA HESABU SAINI YA RAMOS

MANCHESTER United na Manchester City imeripotiwa kwamba zina nafasi ya kuipata saini ya nyota raia wa Hispania, Sergio Ramos ambaye yupo n...

VIDEO:MBOTTO,TUNAWAOMBEA SIMBA NA WAO WATUOMBEE
HIVI NDIVYO MANULA ALIVYOMLIPA KIPA WA YANGA
YANGA:TUNA UKUTA WA BERLIN,YATAMBA NA VIUNGO PIA

MANCHESTER United na Manchester City imeripotiwa kwamba zina nafasi ya kuipata saini ya nyota raia wa Hispania, Sergio Ramos ambaye yupo ndani ya kikosi cha Real Madrid kinachohitaji kuinasa saini ya mshambuliaji Kylian Mbappe.

Beki huyo wa kati mwenye miaka 35 atakuwa mchezaji huru pale mkataba wake utakapomeguka Juni 30 na kumekuwa hakuna mrejesho wowote kuhusu kuongeza mkataba wake kutoka kwa mabosi wake wa sasa.

Ripoti zimekuwa zikieleza kuwa kumekuwa hakuna mahusiano mazuri kati ya Ramos na Rais wa Real Madrid, Florentino Perez jambo linalomaanisha kwamba ataondoka mkataba wake utakapoisha.

Sababu nyingine ni kwamba katika orodha ya wachezaji 10 ambao hawakuwa na furaha ndani ya Real Madrid na jina la Ramos pia lilikuwa ndani ya wachezaji hao na ripoti zimeeleza kuwa kutokana na janga la Corona Real Madrid inahitaji kumpa dili mshambuliaji wa PSG Mbappe.

Ramos akiwa na Real Madrid ametwaa mataji matano La Liga, manne ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ni miongoni mwa wachezaji ambao wamefanya vizuri katika kikosi hicho.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MANCHESTER CITY NA UNITED ZAIPIGIA HESABU SAINI YA RAMOS
MANCHESTER CITY NA UNITED ZAIPIGIA HESABU SAINI YA RAMOS
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhMG85nCafx5blIGY9CqB7Tf5HL3SzVwv5VxKiaD8Uha31zpVNQOOeDy1yDjofQEKcg5iZ0aRa3WTCxREL4S9XDUCnEmFH6M4BXFNhHiSRTQAFs1BQhGT-MJLvfbwkgw3CccHx_E8RMA9jA/w640-h360/Ramos+Tena.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhMG85nCafx5blIGY9CqB7Tf5HL3SzVwv5VxKiaD8Uha31zpVNQOOeDy1yDjofQEKcg5iZ0aRa3WTCxREL4S9XDUCnEmFH6M4BXFNhHiSRTQAFs1BQhGT-MJLvfbwkgw3CccHx_E8RMA9jA/s72-w640-c-h360/Ramos+Tena.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/manchester-city-na-united-zaipigia.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/manchester-city-na-united-zaipigia.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy