EURO 2020 HAINA MWENYEWE, MAMBO MAZITO!
HomeMichezo

EURO 2020 HAINA MWENYEWE, MAMBO MAZITO!

  Hatua ya 16 bora kunako muendelezo wa Euro 2020 , imetoa matokeo ya kusisimua na kushangaza kwa baadhi ya timu. Meridianbet, kila dau ...

VIDEO: CHEKI TIZI LA MAANA LA YANGA NCHINI MOROCCO, SI MCHEZO
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
JAMAA HUYU ANAHITAJI USHAURI BAADA YA KUVURUGWA NA MKEWE

 


Hatua ya 16 bora kunako muendelezo wa Euro 2020, imetoa matokeo ya kusisimua na kushangaza kwa baadhi ya timu. Meridianbet, kila dau unaloweka linaweza kukupa faida kubwa! Tembelea duka lolote la Meridianbet lililokaribu nawe, kutandaza mkeka wako wiki hii. Mchongo upo hivi;

 

Uingereza kuwaalika Ujerumani katika dimba la Wembley Jumanne usiku. Uingereza anaingia kwenye mchezo akitoka kuwa kinara wa kundi D huku Ujerumani akijitutumua na kumaliza kwenye nafasi ya 2 kwenye kundi F nyuma ya Ufaransa na mbele ya Ureno na Hungary.

Mchezo wa Uingereza vs Ujerumani, ni miongoni mwa michezo yenye upinzani na historia nyingi. Uingereza atakumbuka machungu ya kupoteza mchezo kwa matuta wakati huo kocha wa sasa, Gareth Southgate alikuwa anaitumikia timu hiyo. Yote 9, 10 ni kwamba – Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.70 kwa Uingereza kwenye mchezo huu.

 

Kule Norway mambo yamepamba moto. Rosenborg kuvaana na Haugesund katika muendelezo wa ligi soka nchini humo. Unaweza kuifata Odds ya 1.70 kwa Rosenborg kwenye mchezo huu ukiwa na Meridianbet.

 

Valerenga uso kwa uso dhidi ya Sarpsborg 08. Mambo ni moto kwenye Ligi Kuu ya Norway. Meridianbet hatukuachi nyuma, tumekuwekea Odds ya 1.60 kwa Valerenga kwenye mchezo huu.

 

Meridianbet, Nyumba yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: EURO 2020 HAINA MWENYEWE, MAMBO MAZITO!
EURO 2020 HAINA MWENYEWE, MAMBO MAZITO!
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjfHjXZb0E469YkBYsTALvNq-LbFfazTf1jP0Xi14qu3qrOCZXI4x1rXb1pNBxByKwaw3aVep4Bo92grEo3wynvXY1gYuy0rjuEUBek3N4XrRuwaYSY6eyejSqu0bwC67AgFSFbd_quzxfS/w640-h360/57968603_303.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjfHjXZb0E469YkBYsTALvNq-LbFfazTf1jP0Xi14qu3qrOCZXI4x1rXb1pNBxByKwaw3aVep4Bo92grEo3wynvXY1gYuy0rjuEUBek3N4XrRuwaYSY6eyejSqu0bwC67AgFSFbd_quzxfS/s72-w640-c-h360/57968603_303.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/euro-2020-haina-mwenyewe-mambo-mazito.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/euro-2020-haina-mwenyewe-mambo-mazito.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy