DUBE KUIBUKIA MAJIMAJI KUWAVAA SIMBA LEO
HomeMichezo

DUBE KUIBUKIA MAJIMAJI KUWAVAA SIMBA LEO

 NYOTA wa Azam FC Prince Dube ambaye amekosekana kwenye mechi mbili za Ligi Kuu Bara huenda leo Juni 26 akaibukia Uwanja wa Majimaji, Song...


 NYOTA wa Azam FC Prince Dube ambaye amekosekana kwenye mechi mbili za Ligi Kuu Bara huenda leo Juni 26 akaibukia Uwanja wa Majimaji, Songea kumenyana na Simba.

Azam FC itamenyana na Simba kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho na mshindi wa leo atamenyana na Yanga iliyokata tiketi ya kutinga hatua ya fainali baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Biashara United.

Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Azam FC, Zakaria Thabit amesema kuwa Dube anaendelea vizuri na anaweza kuanza ikiwa ripoti ya daktari itaeleza kuwa yupo tayari.

"Kuhusu Dube ni kwamba yupo tayari kwa ajili ya mchezo kwani hakuwa ni majeruhi bali alikuwa anaumwa. Ikumbukwe kwamba kwenye mchezo wetu wa robo fainali alitumia dk 10 dhidi ya Rhino Rangers aliumwa tumbo.

"Baada ya hapo aliweza kukosekana kwenye mchezo dhidi ya Gwambina FC na Namungo haina maana kwamba alikuwa hayupo sawa hapana bali dawa alizokuwa anazitumia zilikuwa bado hazijaisha mwilini.

"Ikiwa daktari atasema kwamba anaweza kucheza basi inawezekana hivyo mashabiki wasiwe na mashaka kila kitu kipo sawa," amesema.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: DUBE KUIBUKIA MAJIMAJI KUWAVAA SIMBA LEO
DUBE KUIBUKIA MAJIMAJI KUWAVAA SIMBA LEO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgaehLk7FHgZ1DSECNFYwH8jdwb8PxVK1bZqyhyHovKorisXzm1Pj3u9P4QW-cOUdSM2z0Kt_ROK1-dL4LwZLDATLdu7vAIRwmOrCzv0Gy1yPKF02F0V0_L74NKE5MQUE5Q7ppzMiBX9rTV/w640-h636/Dube+Prince.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgaehLk7FHgZ1DSECNFYwH8jdwb8PxVK1bZqyhyHovKorisXzm1Pj3u9P4QW-cOUdSM2z0Kt_ROK1-dL4LwZLDATLdu7vAIRwmOrCzv0Gy1yPKF02F0V0_L74NKE5MQUE5Q7ppzMiBX9rTV/s72-w640-c-h636/Dube+Prince.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/dube-kuibukia-majimaji-kuwavaa-simba-leo.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/dube-kuibukia-majimaji-kuwavaa-simba-leo.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy