KIKOSI cha Azam FC kinachonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina, leo Juni 23 kinaanza safari kuelekea Songea kwa ajili ya mchezo wao...
KIKOSI cha Azam FC kinachonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina, leo Juni 23 kinaanza safari kuelekea Songea kwa ajili ya mchezo wao wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Simba.
Mchezo huo wa hatua ya nusu fainali unatarajiwa kuchezwa Juni 26, Uwanja wa Majimaji, Songea.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS